Langa tutakukumbuka Daima

Kweli kabisa
Sawa-sawa!!

Binadamu walio wengi nadhani ni kama tabia wachache sana watakao kupongeza kwa jambo flani,sifa nyingi utazipata ukisha potea dunia hii, japo ulistahili ukiwa bado hai.

Sikiliza ngoma ya Nikki Mbishi
"Usisubiri"
 
Hii mistari imenifanya nimkumbuke sana Langa
......
......
Sio swala la uoga,Kuogopa ukunguru
Ila bora Kulogwa kuliko kukosa uhuru
Wapi sheikh Mponda,wapi jenerali Komba?
Sera Kali serikali cheza mbali na wajomba
Kimbia,Mitihani imevuja nyie hamjasikia.?
Yanini kusoma huku elimu inanunuliwa.?
Kimbia,NCHI IMESHAUZWA HII HAMNA KUSIKILIZIA,
TANESCO,MADINI hadi AIR TANZANIA
Watoto wa uswazi hawana matumaini
Ndoto za ujambazi sababu ya umasikini
Matapeli wenye shahada kila hatua tatu
Makahaba wa miaka 13

Ngoja niishie hapa ila kama huu wimbo ungetoka 2017 sasahivi tungekuwa tunampelekea chakula segerea.
mwenyezi mungu amlaze anapostahili Amin
wimbo gani huu mkuu
 
Mc mkali Mc peace Mc kipato kiaina, Mc mkali wana diss ila wanakubali kiaina.... Sijaalii bado changa nawakomba me na beat natwalala Kama muumini na komaa.....................


Moja Kati ya ngoma za Chidy Benz nilizozipenda kupita maelezo. Dar es salaam stand
 
Kifo jela unga taasisi ndio mwisho wa uteja

Rafiki wa kweli

Matawi ya juu

amani kwa kaka voda milionea,mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea

Unaniacha hoi ya Wakilisha (Langa aliitendea haki zaidi na zaidi)

Daamn jamaa was one of the best of the best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom