Land Cruiser VXR V8 yasalimu amri kwa BYD Leopard 5

GWM, au Sullivan zinawahi choka mapema mnooooooo huwezi fananisha na Toyota yeyote ile au Landrover yeyote ile. Kwa hiyo hata kama ukitunza kama yai still za mchina ndizo zitawahi kuchoka tena kuchoka mapemaa haswaaaa.
Ni ukweli ulio wazi sanaaaa inapokuja issue ya durability mchina lazima atokote.
Umewahi kutimia GWM?
 
Abood na Shabiby walikuwa na Scania na Volvo. Kwa nini hawa matajiri wamehamia Uchinani Yutong?
Iko wazi mbona yutong bei kitonga gari za mzungu bei mkasi mfanyabishara yeyote anataka faida kubwa ndani ya muda mfupi so lazima wahamie yutong, zhang tong, higer na mengine ya kichina
 
Iko wazi mbona yutong bei kitonga gari za mzungu bei mkasi mfanyabishara yeyote anataka faida kubwa ndani ya muda mfupi so lazima wahamie yutong, zhang tong, higer na mengine ya kichina
Ukitaka Return on Investment Mchina anakulipa

Huwezi kununua basi la 800mln na mwenzako la 400mln halafu wote mnasafirisha abiria kwa nauli sawa

Lazima wa 800mln kimlambe
 
Haval SA inakimbiza sana harafu kaweka engine ya D4D waliyoizoea kwenye Quantum zao na Pick up HAVAL suv ya kuanzia 2017 kuja miaka ya karibuni ni nzuri sana ngoja nifatilie kodi ya TRA inasemaje Kwanza.
 
Tanzania ina ardhi kubwa sana inayofaa kwa kilimo na ufugaji lakini iko idle

Kuna mkufunzi mmoja wa kanisa la RC alikuja Tanzania kutoa elimu ya kilimo kwa vijana alishangaa sana kuona ardhi kubwa ya Tanzania haitumiki kwenye kilimo

Marekani, Urusi, Brazil ni mataifa makubwa duniani kiuchumi lakini mojawapo ya exports zao kubwa zinazowaingizia billions of dollars ni agricultural products na nyama za kuku, ng'ombe na pork

Hapa Tanzania kijana ukimshauri kilimo au ufugaji anakuona una mawazo ya kizee

Na bado Tz inaimport tani kwa tani ya mafuta ya kupikia, nyama, mchele kutoka nje
Tanzania kila project wanaichukulia kama kichaka cha kupiga hela,kulikuwa na movement nyingi za kilimo mara kilimo kwanza,sijui kilimo uti wa mgongo....... kauli mbalimbali ila wamepiga hela na kukaa kimya. Ila ukitizama na hizi movement za AI ,future ya vijana wa Kiafrika ni Kilimo.
 
Serikali haiko serious na haya.
Pia vijana wengi wanadhani kukariri darasani kutawatoa
Mlango ukivunjika kwake hawezi kupigilia msumari mpaka amuite carpenter.

Huu ndio ukweli ulioandika.
Hawataki kujifunza kwa vitendo
Mbona tuliosoma miaka ya 60 mpaka 70 tulikuwa tunagundishwa mengi kwa vitendo shuleni?
Na kulikuwa na vipindi kabisa tunakaa nje ya madarasa
Ila leo ni mwendo wa fimbo na kukaririshwa ili watoto wapasi na kujiona eti shule inafaulisha vijana vizuri sana

Nawahurumia sana vijana wanapoomba hata buku huku akiwa amesoma
Lakini hawezi hata kujifunza kazi za mikono kisa anaona aibu

Lakini kuomba haoni aibu very strange
Ukitaka kujua umuhimu wa elimu za vyuo vya ufundi tembalea nchi zilizoendelea, ndio utajua umuhimu wa hiyo sekta katika viwanda.
 
Kitu kimoja nawakubali wachina wanapiga kazi kinouma na hawakati tamaa kirahisi , nenda kawaone wachina kwenye biashara mbalimbali US utanipa jibu lako
Hii ni kitu nakikubali kutoka kwao.

Wanafanya kazi sio utani wachina kazi nyingi nimefanya nao.
 
Nchi zinaanza kuondoa mitaji yao kutoka huko

Ameanza USA

Next europe

Watu wanamwona mzee trump anakurupuka lkn yupo kwenye ushauri wa usalama wa Taifa lake

In ten years nchi nyingi za africa zitakuwa zinazalisha bidhaa nyingi hataitaji kuagiza bidhaa nyingi kutoka china

China ajiandae kisailolojia
Achana na hizo nchi nyingine ambazo nikikuuliza hutotaja tuanze na US mpaka sasa wameondoa mitaji mingapi toka matamko ya huyo mwehu wako DT aanze kuropoka ?
 
Mtu aliyeko nyumbani ukimwambia haya hawezi kuamini.
Sasa unamuona amesoma na vyeti anavyo ila ajira hana na anaweza kuzunguka bila kazi hata miaka 2 au zaidi

Ila angeenda akajifundisha hata ufundi umeme au seremala au ujenzi, hakika kwa mda huo angekuwa na msingi mzuri

Kuna mtu atakuja aseme tools utampa wewe?

Yaani wanapenda kuweka vikwazo mpaka unashangaa
 
Back
Top Bottom