Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 4,516
- 13,826
Huyu Mchina BYD Leopard 5 ana balaa lake alikuwa akishindanishwa na Toyota Land Cruiser VXR V8. Mjapan kanyoosha mikono juu.
Chuma inakuja na:-
Chuma inakuja na:-
- Engine: 2.0L turbocharged, 4 P-E (hybrid-assisted)
- P/Output: 680hp (199 kW) na 48V mild hybrid system
- Torque: App. 406 Nm
- Transmission: 8 speed automatic
- D/Train: 4WD ikiwa na Multiple OR drive modes.
0 KM Price: USD 40,000/TSHS 107,000,000
Na hapo haujagusa toleo jipya la BYD Leopard 8 lenye 978HP na huku toleo jipya la Land Cruiser LC300 ina 415 HP
Kwa sasa Mchina ana dunia yake kwenye automobile industry.