mwanadar
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 418
- 281
MamaaaaaaaaaaaaaaaKwaiyo , nini maoni yako basi
MamaaaaaaaaaaaaaaaKwaiyo , nini maoni yako basi
Ukiangalia kwa undani kauli iliyotolewa, hata utawala huu unalo jibu lao tayari, so majadiliano kwao ni kama kutimiza wajibu tuNjia nzuri ni kwenda kwenye njia hiyo ya usuluhishi na sio kujaribu kutumia mabavu kama JB alivyotaka kufanya. Hawana uwezo wa kuimudu Tanzania hao majamaa wa pande ya pili
kama jk walimshindwa wakafyata maana aliwapelekea vifaru kule nyasa na wanajeshi wa kutosha wakaufyata.sasa huyu mtumbua majipu ngosha watamuweza kweliUkiangalia kwa undani kauli iliyotolewa, hata utawala huu unalo jibu lao tayari, so majadiliano kwao ni kama kutimiza wajibu tu
Kafie mbali huko!! Tuondolee uharo wako hapaJidanganyeni alafu mkapewe za uso wadanganyika... Wanajeshi wanywa banana hawa waende uwanja wa vita mtegemee watashinda??
You might be right but I think their election is on 2018 so it is very early to start now. I remember during their campaigns in 2014 Peter was saying the same thing blaming JB that it is due to her government's weakness if it was him this issue could have been a history but after he won the election he didn't talk much about the lake issueHii issue I am so sure ni agenda ya uchaguzi kwa hawa wanasiasa wa Malawi, poor malawians
Wanajeshi wenyewe hawa wanaokula banana mitaani?? Juzi mwanajeshi kapata kaajari kidogo cha bodaboda, dereva hajatoka hata na jeraha ila mwanajeshi kafa... Endeleeni kujidanganya tu
Wanajeshi wenyewe hawa wanaokula banana mitaani?? Juzi mwanajeshi kapata kaajari kidogo cha bodaboda, dereva hajatoka hata na jeraha ila mwanajeshi kafa... Endeleeni kujidanganya tu