Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,316
Uongoooooo wako acha andika km kuku aliyebakwa kichwa hata biologia ya la darasa la saba naweza kukujuza kuwa Kuna binadamu hawana uwezo wa kuzaa... Na sio wa kike Tu kwa hiyo dhana yakuchezea mfuko.... Wapo wanaume wengi Tu hawana uwezo wa kumpa mwanamke yoyote mimbaMkuu nachukia sana mnapo mtaja taja Mungu hata huku jf. Kuzaa mipango ya mungu kiaje?? Hakuweka hizo jinsia mbili na moja akanipa mimi na nyengine akampa huyo?? Kama yeye au huyo mwengine yeyote aliuchezea mfuko wake wa mbegu (magazine)mpaka kaziunguza leo hapati mtoto mnamsingizia Mungu kiaje?
Kuzaa ni mpango wako mwenyewe wala Mungu hahusiki baada ya kukuumba vizuri. Wale ambao walizaliwa navyo bila risasi wala magazine hao wala hawafikirii kuwa na mtoto. Sio hao waliunguza mbegu zote mnawaonea huruma ati Don't judge. Acheniiiiii ili wengine wanaotaka kuiga wakome.
Uongoooooo wako acha andika km kuku aliyekwatwa kichwa hata biologia ya la darasa la saba naweza kukujuza kuwa Kuna binadamu hawana uwezo wa kuzaa... Na sio wa kike Tu kwa hiyo dhana yakuchezea mfuko.... Wapo wanaume wengi Tu hawana uwezo wa kumpa mwanamke yoyote mimbaMkuu nachukia sana mnapo mtaja taja Mungu hata huku jf. Kuzaa mipango ya mungu kiaje?? Hakuweka hizo jinsia mbili na moja akanipa mimi na nyengine akampa huyo?? Kama yeye au huyo mwengine yeyote aliuchezea mfuko wake wa mbegu (magazine)mpaka kaziunguza leo hapati mtoto mnamsingizia Mungu kiaje?