Ladies, hiki ndo cha kufanya mmeo/mpenzio akugande

Mmmmh ingekuwa hivo kusingekua na vilio vya usaliti kifupi BINADAMU HATUELEWEKI
Utakatiwa kiuno weeee but where!!!!!
Ni asilimia kubwa hufanya kazi, kama unakatika sana ila bado anazingua ujue umekuwa freak in public pia!!
 
Habarini!

Iko simple sana. Cha kufanya wewe mwanamke kwa mmeo au mpenzio wa kiume kumuweka kiganjani ni:

BE A LADY IN PUBLIC AND A FREAK IN PRIVATE.

Wanaume wengi tunapenda mwanamke ambaye mbele ya watu anaonekana ni mwenye kujiheshimu, ila tunapokuwa wawili nyumbani/ chumbani ni super freak.

Ukicheza karata vizuri, hapa utakuwa umemuweka katika chupa.
Kwa hiyo wewe ndo unajiona umeandika cha maana au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom