kazi yako kubwa ni hii uliyopewa ya ku post humu, nyingine huna...ndio mana una id nyingi
Si kweli kwamba lile unalolifanya wewe basi na sisi wengine tunalifanya. Yaani kwa kuwa wewe una ID zaidi ya moja basi na mimi ninazo pia? Zitanisaidia nini hizo IDs ambacho siwezi kufanya na ID moja? Jaribu kugrow kidogo ndugu hii c facebook ni jf. Hiyo mentality ya facebook iache huko huko hatuhitaji hapa!