La kwanza la 1999 tuna nuksi

Umri ni namba, tunaangalia una nn kichwani. Si unaona wenzako wanavikimbilia viserenget boys.
Viserengeti vyenyewe ndo hivi vya la kwanza mwaka 99, ushaona kipi kinampelekesha jimama lake kama sio vinakaa kupokea oda tu? Know why? Coz 99 bado vitoto vinuka jasho!
 
Hahahaha kweli jombaa hii ni nuksi kabisaaa afu ukumbuke umitashumta huijui wala umiseta ulivomaliza tu form four ikaanza kwa hyo km ulkua na kipaji cha michezo hukupata nafasi ya kukionyesha
 
Kweli mkuu umri ni namba. Siku hata wao wanakimbilia serengeti boys
haya mambo ya woga uliopitiliza kwa mtu kisa kakuzid umri ilikuwa zamani,na ndo mana wakaikumbatia salamu ya kitumwa ya "shikamoo" by the way siku hizi kuzidiana miaka sio kikwazo cha kushindwa kushare story mbili tatu za maisha.
 
Ndugu kilio chako, huwa ni kwa kila mtu huwa ana namna anavyo tafsiri miaka aliyosoma yeye, including me, kila nilipo ingia ngazi mpya ya kielimu kuna mambo yalibadilika hadi mnajihisi kama mnakomolewa vile.
 
Ni kweli kabisa mi mwenyew wa 99, ila mwaka huu ndo nitagraduate

#serikali imesitisha ajira
 
Back
Top Bottom