Kwenye yai kuna nini kigumu kwanini pembe na pembe ukiminya halivunjiki?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,465
Wakuu,

Mayai ya huko kwenu yanavunjikaga? Ya kwetu hata uminye vipi pembe na pembe hayavunjiki ng'oo kwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…