Kwenye msafara wa mamba

Nashangaa Ilikuwaje huyu jamaa hakutimuliwa tena kwa kipigo kabisa....
 
Unaruhusiwa kuswali na viatu mradi viwe visafi havina najisi(uchafu) uisilamu ni rahisi sn sio kama watu wanavyochukulia mambo juu juu.
Viatu ambavyo ni visafi havina najisi vikoje? Na ni nani anaamua kuwa kweli viatu vya muumini ni visafi na havina najisi?
 
Hakuna ubaya kuswali na viatu vikkwa safi kwan mtume saw aliswali Navy once. Huo msikiti uko jangwani opposite na young African wanajielewa mashallah
 
hili eneo linaitwa mbuyuni ni nje ya msikiti pale viwanja vya malindi zanzibar, wakijaa ndani wengine huswalia nje, hapo ni nje, wakimaliza sala huwa ni njia watu wanapita kuendelea na mambo yao

Hakuna ubaya kuswali na viatu vikkwa safi kwan mtume saw aliswali Navy once. Huo msikiti uko jangwani opposite na young African wanajielewa mashallah
Mmoja anaweza kuwa sahihi...!!!
 
Ningelikuw amimi ningemtoa hata kama ni Askari wa usalama wa taifa mshenzi wa tabia huyu anaingiaje ndani ya msikitini huku amevaa kiatu?

Obama.jpg


RAIS OBAMA AVUA VIATU ''TAKBIBIR'' NA KUINGIA MSIKITINI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom