Kwenye msafara wa mamba

Kwenye kuinama, sijui kama yuko sawa au hayuko sawa, Ila nachojua, ni kaingia na viatu, Ina maana hakuna aliyemwonaaa. Ampe utaratibuu???

Labda anaipenda dini na anataka kuabudu now???
 
Kwenye kuinama, sijui kama yuko sawa au hayuko sawa, Ila nachojua, ni kaingia na viatu, Ina maana hakuna aliyemwonaaa. Ampe utaratibuu???

Labda anaipenda dini na anataka kuabudu now???
Ngoja wamstukie atajuta kuzaliwa
 
Kuna mmoja alifika msikitini mda wa kumaliza swala jamaa hajui ishara yoyote haonyeshi kama amemaliza au anaendelea, watu wakasema takbirrrrrrrrr, kilichofuata hapo ni historia kwenye maisha ya jamaa
 
Moto gani ? Waislam wanaruhusiwa kusali na viatu

Mkuu Mshana mbona unamhukumu ? uliza basi kama kitu huelewi..!

Mkuu hebu tupe darasa hata mimi sijui kama Waislam wanaruhusiwa kuswali huku wakiwa wamevaa viatu, ndiyo uzuri wa JF tunaelimishana.
 
Unaruhusiwa kuswali na viatu mradi viwe visafi havina najisi(uchafu) uisilamu ni rahisi sn sio kama watu wanavyochukulia mambo juu juu.
 
Unaruhusiwa kuswali na viatu mradi viwe visafi havina najisi(uchafu) uisilamu ni rahisi sn sio kama watu wanavyochukulia mambo juu juu.
Labda kama alikua ameviweka mfukoni kafika humo ndani kavaa!!!!
 
hili eneo linaitwa mbuyuni ni nje ya msikiti pale viwanja vya malindi zanzibar, wakijaa ndani wengine huswalia nje, hapo ni nje, wakimaliza sala huwa ni njia watu wanapita kuendelea na mambo yao
Sawa lakini jamvini na viatu?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…