neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 421
- 1,300
Habari wakuu?
Kwa kweli huyu mama yetu mama samia anaupiga mwingi, kwenye hili la kada ya afya kupitia utumishi na kufanyiwa usaili naipongeza serikali sana kwa sababu kupitia usaili usawa utakuepo lakini pia watapatikana watu competence pamoja na hilo usaili utaondoa dhana ya kuwa kuna connection huko tamisemi, lakini pia kutokana na wingi wa wahitimu njia pekee ya kuondoa manunguniko kwa jamii kuwa kuna upendeleo kwenye ajira hili la ajira hizi kupitia utumishi litaondoa manunguniko hayo! Pamoja na hilo huko mavyuoni kuna watu wanapata degree za mserereko wengine kwa kutumia rushwa, wengine hata kufanyiwa mitihan kama inavyodaiwa!
Kwa maana hiyo kupitia usaili kilaza lazima awekwe bench!
Ushauri wangu kwa serikali.
1: Tunaomba pia na walimu wapitie utumishi wapigwe msasa mwalimu ambaye anaenda kufundisha sharti mitihani ya utumishi afaulu kuanzia 75% sio chini ya hapo! Kwa kufanya hivyo tutafanya walimu competent, leo hii kuna walimu wengi uwezo wao ni mdogo mpaka unashangaa aliajiriwaje ila kupitia utumishi tutapata walimu wa viwango
2: Saili za utumishi kwa 90% wanaendesha kwa uwazi kabisa na 95% hamna connection tunaomba kwenye saili hizi za afya ziendeshwe kwa umakini bila upendeleo mwenye kufaulu afaulu kwa halali na mwenye kufeli afeli kwa halali,
Kwa haya anayoendelea kuyafanya mama yetu hatuna budi kuendelea naye miaka mingine mitano!