HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 933
- 1,014
Jabarini,
Hivi kweli hata wasomi wa Kiafrika wenye Phd wamegoma kabisaaaa kutambua kuwa Ukristo na Uislam siyo kwaajili yao bali ni kwaajili ya warabu na wazungu/wakoloni.
Yaani wameelezwa kuwa Waafrika wametokana na manyani na wakati huohuo wameelezwa kuwa wametokana na udongo pia wametokana na Adam na Hawa wanajichanganya wao wenyewe na Waafrika wanaaminishwabtu na bado wamewaeleza kuwa mtu wa kwanza amegundulikavoldvai gorge.
Waafrika hata wasomi wabobezi wamekana kabisa tamaduni zao kama vile majina,mavazi,lugha,nyimbo,sherehe,nk kwa kuwafuata warabu na wazungu,kweli??
Huu siyo ujinga bali ni DHAMBI ya kutojitambua kama kweli kuna moto baada ya kifo basi Waafrika wote ambao ni waislam,wakristo,budha,hindu,nk watachomwa moto wote kwa hili.