Kweli mambo ya Tanga yapo hivi au makusudi tu?

Mbona mimi sijawahi bahatika kumpata binti wa Tanga aliye mtundu faraghani? Kama yupo aniPM please. Pesa ninazo.
 
teh teh , maji ya kuoga kama anapika chai !! au ndugu yetu uliogea chai bila kujitambua
 
Aje aje wadau,

Daah! Mapenzi bana kweli ni ubunifu lakini sio kwa ubunifu huu ulionitokea mimi, sitaki kubwabwaja sana kama lara..

Ipo ivi kuna mtoto wa kike nimekuanae kama miezi kadhaa hivi, mtoto mwenywe wa kitanga na kama mnavojua story za Tanga na mapenzi yao ya kuunga maji ya kuoga iliki, mdarasini, karafuu nasikia mpaka nyanya wanaweka sikuizi

Sasa mimi nimefanyiwa hayo mambo na uyo mtoto wa kitanga alafu mimi sipendi sasa habari hizo na nimemwambia sana tu mimi sifagilii mambo hayo

Kilichonisibu sasa juzi ameshinda geto ile narudi namkuta ameaanda maji ya kuoga ya moto lakini sio Yamoto Bend ameweka maviungo yake kibao namaliza kuoga nakaa kidogo yani mwili wote ulikuwa unawaka moto kinoma alafu kulikuwa akuna joto kivile.

Sasa mpaka saivi najiuliza aliweka nini sijui kwenye yale maji na nikimuuliza ananikenulia tu kama daktari wa meno, uamuzi naotaka kuufanya ni kumpiga chini anazingua na maviungo yake lakini wadau mimi kaswali kangu kamoja tu aliweka nini mule?

Imefika.


Una mifangas, kamuone dakitari.
 
Watoto wa KISOSORA,MAJANI MAPANA,DONGE,NGUVUMALI,KWA MINCHI,MAKORORA,MABANDA YA PAPA MPOOO?
Jamaa atakuwa na fangasi huyo ,sasa mdalasili na karafuu vilipopenya palipo athirika akapata maumivu.
Next time akuwekee ngogwe,bamia na mlenda
 
Back
Top Bottom