Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 857
- 609
We rais wa TEC ni nani kuiamrisha serikali iachie watuhumiwa wa uhaini tena unapanga bila masharti, who are you? Hawa maaskofu wanajitambua kweli? Wanafikiri hii ni Roma Empire? Wanapenda kiki za kijinga waonekane wana nguvu flani nyuma ya pazia waache upuuzi wao zile zama za kijinga za papa kusikilizwa imeshapitwa na wakati. Huku ni kumkosea Rais wa nchi adabu. Wahangaikie na mmomonyoko wa maadilli na ukatili uliokithiri ktk jamii km wanaweza. Hii nchi ina uongozi, ina sheria na taratibu za kuishi, wahuni wote wanashughulikiwa kwa mujibu wa sheria. RC waheshimu serikali waache maupuuzi yao hayo. Km wanaona siasa inanoga waunde chama cha siasa mbn wakati wa Magu pamoja na ukatili aliokuwa anaufanya hawajawahi kukemea. Nyie hamuwezi kuwa na uhalali wa kukemea uovu nyie ni sehemu ya uovu kokote kwenye serikali dhaifu mmevuruga sana. Serikali hii ni strong huo upuuzi wenu hauna nafasi mmejaa ubaguzi wa kidini.