Ipromise to be loyal
Member
- Oct 26, 2024
- 53
- 91
Apa umenena bravooo👍Hapana, sio lifutwe ila lifanywe na wana ndoa pekee, sio kama sasa linavyofanywa hata unashindwa kutofautisha na viumbe wengine
Apa umenena bravooo👍Hapana, sio lifutwe ila lifanywe na wana ndoa pekee, sio kama sasa linavyofanywa hata unashindwa kutofautisha na viumbe wengine
Waache waendelee kuchapiwamazwazwa machache yanabisha natamani huu mdaharo ungekuwa mubashara yani ana kwa ana!, ningetandika watu mabanzi ya shingo tu!
pia sababu za kiafya. E.g. homornal imbalanceinategemea na mwanamke mwenyewe kuna sababu nyingi nyingi, mfano dini, muda n.k kwahiyo hapo inategemea cha muhimu fanya utafiti kumuelewa mwenza wako zaidi ili kujua chanzo
yes, sababu ni nyingi inabidi jamaa amsome vizuri tu mwenza wake aache stress za kujiona hayupo vizuri kwenye gamepia sababu za kiafya. E.g. homornal imbalance
Tendo la ndoa lifutwe.....
Sitaki hayo mamboKwanini mama wawili
Hili ndilo jibu sahihi zaidi.Lingine ujue kuna kidume anamlaga
Ajabu, unashughulika wewe tu jasho linakumiminika, macho unayatumbua kama kenge aliekunywa safari lager!.
Sitaki hayo mambo
Nadhani haujui aina za wanawake wewe, upo mkubwabwaja tu, tuulize sisi kwanza kabla ya kupandisha uzi wako jamvini.Haiishii hapo tu unakuta hata akikupa haleti ushirikiano!, kaa ukijua anakuona wewe kama sanamu la matope!.
wewe ndo umekuwa mtumwa wakuiomba!, ndugu haupo kwenye mahusiano ila upo kwenye husiano maana mahusiano ni mashirikiano ila ajabu, unashughulika wewe tu jasho linakumiminika, macho unayatumbua kama kenge aliekunywa safari lager!.
Chakufanya ongeza ufundi, imalisha ujuzi mpk nayeye aanze kuiomba usikae tu kama chatu aliemeza chura!.
pia huzulieni vikao sio mnateswa kidogo tu mnakuja kulialia!.