[Qce mrisho com, post: 15228743, member: 287472"]hii kitu nashangaaa kuona baaa kuezekwa kwa makuti[/QUOTE]
Unaongelea za dar, na pwani kwa ujumla!! Huku musoma makuti utayatoa wapi? Kwa dar ni kweli hususani miaka ya nyuma ambapo
makuti yalikuwa bei ndogo sana, lakini kwa sasa ni bora uezeke kwa bati tu kwani gharama ya makuti ni kubwa sana na baadaya ya miaka 4 utatakiwa kuyabadirisha tena, kwa hali ya hewa ya dar yanasaidia kupunguza joto kwa kiwango kikubwa sana.