princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 8,697
- 17,320
WhaaatWe are more than this body. Are you using your mind or the mind is using you?
Huna haja ya kuogopa mauti
WhaaatWe are more than this body. Are you using your mind or the mind is using you?
Huna haja ya kuogopa mauti
Wengi huogopa kifo nahisi kwakuwa hatujui tutakufaje, i mean namna tutakavyoondoka.Uzuri wa kifo ni kuwa
Pale ambapo kifo kipo binadamu hayupo na pale ambapo binadamu yupo kifo hakipo, ukifa unakuwa haupo so hakuna haja ya kuogopa, na unaogopa kwa kuwa upo.
Wala haina haja ya kutishana, kifo ni moja ya ugunduzi bora kabisa kuwahi tokea ulimwenguni, kinatoa chance ya kizazi kimoja kurithisha dunia kizazi kingne.
We
Wengi huogopa kifo nahisi kwakuwa hatujui tutakufaje, i mean namna tutakavyoondoka.
Kwamagonjwa
Ajali barabarani
Kuchinjwa
Kufa ukiwa umesinzia/kuzirai
Kupigwa na kitu kizito
Kwarisasi n.k
Hebu fikiria unapita mahala fulani unakuta watu wamejazana, unauliza kulikoni wanakwambia nenda ujionee. Unasikia wamama wanaangua vilio vya hofu na uchungu, ghafla unashuhudia mwili wa binadamu ukiwa umeraruliwa kwa kuchanwachanwa kwa kisu au panga. Lazima utafeel hali ya uchungu alioupata kabla ya umauti kumfika. Kuna muda huwa nqwaza mwenyewe, mbona ninapochinja mnyama/ndege sina hofu wala kuhurumia kiumbe kinapotikisa mwili kwa maumivu? Lakini kwa binadamu ni hali tofauti kabisa.
Ngoja nitoe mfano kidogo. Zamani tangu ningali mdogo, sikuwa nikiogopa kabisa kuangalia video za mauaji (maigizo) hasa za kuchomana visu na kupigana mapanga. Ila tangia mwaka 2015 hadi leo, ninapatwa na hofu sana ninapoona mtu anachomwa kisu ama kukatwa panga, kwann? Mwaka huuo ndio nilishuhudia documentary ilihusu vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini Sierra Leone. Haikuwa video ya kutengenezwa, ilikuwa halisi kabisa (on the battlefield) ilifika mahali hata mwandishi mwenyewe anajibanza sehemu kukwepa risasi. Ilinitisha mpaka leo. Niliona tofauti ya vita, na maigizo ya vita. Kama kuna watu nawaona maadui kwangu, ni wale wanaoomba VITA ITOKEE ILI KULETA HESHIMA. Vita isikie kwa jirani tu. Jiulize mtaani kwako umelala ukasikia risasi nje, unakuwa na hali gani. Halafu hiyo ndiyo iwe desturi yako ya kila siku asubuhi mchana na usiku. Kifo kisikie tu lakini ukweli unabaki palepale pamoja na kuwa tumeumbiwa kusahau, KIFO HAKIZOELEKI ndio maana mtu akifa sasahv, watu watalia weee ghafla akifa mwingine tena wakati mnaomboleza, hofu itaanza upya na mshituko utatokea sawa nq yule wa kwanza
Mkuu nilikutumia ujumbe, nasubiri majibuKIFO HAKIZOELEKI ndio maana mtu akifa sasahv, watu watalia weee ghafla akifa mwingine tena wakati mnaomboleza, hofu itaanza upya na mshituko utatokea sawa nq yule wa kwanza
Uzuri wa kifo ni kuwa
Pale ambapo kifo kipo binadamu hayupo na pale ambapo binadamu yupo kifo hakipo, ukifa unakuwa haupo so hakuna haja ya kuogopa, na unaogopa kwa kuwa upo.
Wala haina haja ya kutishana, kifo ni moja ya ugunduzi bora kabisa kuwahi tokea ulimwenguni, kinatoa chance ya kizazi kimoja kurithisha dunia kizazi kingne.
😀😀 Kwenye smsPM? Ngoja nicheki
Mshana:View attachment 489399nimerejea kwenye mfululizo wetu ule wa makala zinazohusiana na kiama kifo kuzimu makaburini na hata mochwari
Ndani za hizo makala kuna nyingine ni za kutiana moyo na kuondoana hofu huku nyingine zikielezea dhana mbalimbali na nyingine zikiwa ni masimulizi ya kweli
Nia yangu si kuleta hofu wala kumtisha mtu bali kupandikiza mbegu ya uzoevu katika vitu visivyozoeleka.... Hasa kifo View attachment 489422
Hofu ya wengi kwenye kifo ni hii
Kwamba hatutaonana na wapendwa wetu tena
Kwamba miili yetu hii itaharibika na kuoza kabisa
Kwamba hatuna hakika na huko tuendako
Kwamba je ni kweli kuna pepo jehanam au rebirth/reincarnation?
Kwamba tunaachana na starehe za dunia hii na mali zote tulizochuma?
Lakini kubwa zaidi ni ule upweke kile kiza na zile kilo za mchanga ndani chini ya kaburi pekeyako kabisa .....na zile hari za kifo mwili unapotengana na roho I mean yale mateso yake zile dakika na sekunde za mwisho
Mbali ya hayo yote ni zile fikra za wale wapendwa wetu waliotangulia huko, kwamba wako wapi sasa na wanafanya nini huku ukionyeshwa mapicha ya marehemu Waliobaki mifupa tuu.....
Usimlaumu anayeogopa kifo ndani ya kaburi lililofunikwa kuna siri nyingi tusizozijuaView attachment 489418
nimekupataMshana:
Nikupongeze kwa andiko lakini ningependa kuweka mawazo yangu. Kifo kina hatua:
Hatua ya kwanza ukiwa mzima na mwenye afya mtu akikwambia unakufa unakataa na mtabishana hiyo inaitwa "Denial"
Hatua ya pili unapokuwa kwenye hatari na unaona hapa sasa sina nakufa nafsi na roho na mwili unakubali unaona hakuna tena jinsi na ndiyo maana usiku wagonjwa wengi huwa wanafikiria kutubu nakuomba wapumzike kwa amani. Hiyo inaitwa "Acceptance".
Lakini ukiwa mtenda mema kifo ni njia ya ushindi ila ukweli kwa mwanadamu ni kuwa kifo hakizoeleki.
@Mshana Jr mimi binafsi kifo hakinitishi sana pengine kinachonitisha ni ugonjwa ule au ajali inayoweza kunipelekea kifo na mbele huko adhabu zinazotajwa za JEHANAM na nyinginezo' ndio maana naswali sana naepukana na madhambi na kwaupande mwingine naona mtu akifa hatojiskia sawa na usingizi usiokua na njozi au hatojiskia sawa na mtu bado haja zaliwaView attachment 489399nimerejea kwenye mfululizo wetu ule wa makala zinazohusiana na kiama kifo kuzimu makaburini na hata mochwari