Nana brain
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 488
- 367
Nimetamani kucheka kwa sauti ila nimeshindwa maana nipo kwenye pantoni saa hiziKama umegundua kitu watu wakishuka kwenye pantoni pia hutoka mbio utadhani wanashindana (zamani nilidhani ni sheria).
Sijapata jibu na sina jibu hapa.