Kwanini watu weusi ni masikini sana?

1.Elimu 2.Elimu 3.Elimu. 4.Uvivu 5.Uvivu 6.Uvivu
7.Majungu, 8.Wivu, 9.Athari za ukoloni, 10.Kutegemea mataifa na watu wengine, 11.Kutegemea miujiza, 12. Athari za wanasiasa na ubinafsi wa viongozi, 13. Kukosa Dira na malengo mathubuti ya kukabiliana na changamoto mbali mbali. Mfano katika Elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi na madini ni namna gani vichangie kwenye uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja na taifa kwa muda utakauwekwa.
 
Watu weusi hawawezi kitu kinaitwa wealth sharing ,kila mtu anapenda kuwa juu ...Wenzetu wanajua kushare mapato ya nchi ili kumuinua kila mtu , hapa bongo kila siku mtu kugombana na ndugu zake , huo upendo utatoka wapi?

Kama unabisha hii serikali yetu akipewa mtu mweupe, mpaka walimu wataishi vizuri na mishahara mikubwa tu .
 
Karibu katika huu mjadala why black people are poor.

Mimi nita highlight mambo matatu

Nidhamu ya pesa

Nidhamu ya Kazi

Kutokuwa na utamaduni wa kujiwekea AKIBA.
Umasikini wa Waafirika unasababishwa na Viongozi wao walioko madarakani kwa kuwanyima fusra za kutumia utajiri wa rasilimali zao,kinyume chake wao viongozi ndiyo wanageuka kuwa matajiri wakubwa kuliko hata wafanya biashara
Maana yake ni kwamba siasa zinalipa afrika,sababu ya wizi wa rasilimali
 
Back
Top Bottom