Kwanini Watu wa Kaskazini ni Weupee pee halaf wa kusini ni Weusi tii? In Tanzania

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,979
3,919
Hii Tanzania imegawanyika Katika Kanda mbalimbali, Kanda ya ziwa, Pwani, kusini, kaskazini.

ILA Chá ajabu inaonekana watu wa Kanda ya kaskazini mashariki ni weupe sana na wanang'aa sana, pía wa ukanda wa Pwani ya kaskazini, pía ni Wazuri kupita kiasi. Hii kaskazini pía kuna watu maji ya kunde wanang'aa

Kwa upande mwingine watu wa kusini magharibi ni weusi sana, sana yani, hakuna hata maji ya kunde, halaf wasichana wao wanafiga ILA Sura mbuzi.

Theory yangu, nahisi kaskazini hapo kale wazungu ña waarabu waliacha mbegu, tofauti ña kusini.
Inabidi Sasa tuanze kuoana kusini kwa kaskazini.

Mfano mmoja wa kaskazini ni Wolper, kinyaiya, Lulu, Snura,Ney wa Mitego, mfano wa kusini ni Mwasiti, rayvanny, Baraka d prince,matonya,
 
Labda baridi ya kusini ndiyo sababu. Ukisema wazungu hata kusini wazungu walifika pia
 
Mimi mwenyewe nimesoma pale Iringa ila wenyeji ni weusi Sana na wanasura mbovu mno, weupe pale ni wanachuo wanaosoma vyuo vya Tumaini, RUCO, Mkwawa na wele wengi Wao wametoka Arusha,Moshi,Dar na Zanzibar..

At least hao ndio utembea tembea pale Iringa mjini, wakaonekana kuna watu weupe, tofauti na hivyo ni giza Kila mahali..

Pia nahisi kwasbabu watu wa kusini ni wachawi Sana, Kama ni baridi Mbona Arusha ipo Sana... Ni asili yao tu, ilivyo.
 
Hii Tanzania imegawanyika Katika Kanda mbalimbali, Kanda ya ziwa, Pwani, kusini, kaskazini.

ILA Chá ajabu inaonekana watu wa Kanda ya kaskazini mashariki ni weupe sana na wanang'aa sana, pía wa ukanda wa Pwani ya kaskazini, pía ni Wazuri kupita kiasi. Hii kaskazini pía kuna watu maji ya kunde wanang'aa

Kwa upande mwingine watu wa kusini magharibi ni weusi sana, sana yani, hakuna hata maji ya kunde, halaf wasichana wao wanafiga ILA Sura mbuzi.

Theory yangu, nahisi kaskazini hapo kale wazungu ña waarabu waliacha mbegu, tofauti ña kusini.
Inabidi Sasa tuanze kuoana kusini kwa kaskazini.

Mfano mmoja wa kaskazini ni Wolper, kinyaiya, Lulu, Snura,Ney wa Mitego, mfano wa kusini ni Mwasiti, rayvanny, Baraka d prince,matonya,
Mbona unatuandikia uharo humu ndani?
 
Wajaluo wapo kaskazini.
Check your facts right!
Hivi hao unaowataja ni weupe au wanaonekana weupe? Mchina kawasaidia wengi.
 
Hii Tanzania imegawanyika Katika Kanda mbalimbali, Kanda ya ziwa, Pwani, kusini, kaskazini.
ILA Chá ajabu inaonekana watu wa Kanda ya kaskazini mashariki ni weupe sana na wanang'aa sana, pía wa ukanda wa Pwani ya kaskazini, pía ni Wazuri kupita kiasi. Hii kaskazini pía kuna watu maji ya kunde wanang'aa
Kwa upande mwingine watu wa kusini magharibi ni weusi sana, sana yani, hakuna hata maji ya kunde, halaf wasichana wao wanafiga ILA Sura mbuzi.
Theory yangu, nahisi kaskazini hapo kale wazungu ña waarabu waliacha mbegu, tofauti ña kusini.
Inabidi Sasa tuanze kuoana kusini kwa kaskazini.
Mfano mmoja wa kaskazini ni Wolper, kinyaiya, Lulu, Snura,Ney wa Mitego, mfano wa kusini ni Mwasiti, rayvanny, Baraka d prince,matonya,
Ndani alikukataza kwenda kusoma shule? Majibu yamo kwenye historia.
 
Wote inaonekana ni kama hamsomi historia na jiografia sijui ni watu wa sayansi? Kuna vitu vinaitwa ethnic group. hapa Tanzania kuna Nilotic ndiyo makabila ya kaskani origina yake ikitokea kaskazini mwa Africa kama walivyo Wahabeshi, Wasomali na kuendelea. Kuna Wabantu ndio sisi weusi, kuna hamites etc. jadilieni kupitia line hii
 
Back
Top Bottom