Kwanini watoto wa kizungu wanavutia kuliko wa kiafrika

Umasikini unasababisha mtoto asile vizuri wala kuvaa vizuri ambavyo ndio vinasababisha mtoto kutovutia
Mfano : mchukue mtoto aliyekulia familia bora na aliyekulia familia maskini utaona tofauti kuanzia ngozi mpaka mavazi
nmekuelewa now. thank you
 
Ukishajichukia wewe mwenyewe hakuna kitakacho kuwa mizuri mbele yako.wewe unachukia kuwa mwafrika basi kila kinachohusiana na nwafrika lazima ukichukie labda uchungu utakufunza subiri uzae wako hata akicheza chooni bado utamwona ni mzuri kuliko anaecheza kwenye rundo la dhahabu.

MABADILIKO NI SASA
schuki kuwa mwafrica mi nkija kuwa mama mwanang awezi kuwa hvo. mwanang atakua mzur msafi
 
kids-in-park-630x419.jpg

namibia-sa-023.jpg


binadamu ni binadamu tu bila kujali tofauti za rangi, lugha wala maumbile. ndio maana leo hii hakuna mtu anayesomea udaktari wa kumtibu mtu mweusi wala kumtibu mzungu pekee. mtu anasomea udaktari wa kutibu binadamu, which means we humans are biologically the same, whatsoever!!!!
wa juu wamependeza wanavutia kulko wa chin
 
Usihesabu vifaranga kabla havijatotoa

Hujui kesho italeta Nini hata hao uliowasema hakuna aliependa kuwa hivyo
 
Mkimbizi wa Syria anavutia kuliko wa Bujumbura au Lubumbashi sijui kwa nini?

Mkimbizi wa Palestina unamkuta kanyuka pamba kuliko Kabaisa wa Tandale lakin njoo kwa warundi utadhani Kichaa katoroka Vichakani kwny kambi ya Misukule.
hahahahahaha.....umetia chumvi kidogo....ila wenzetu kwenye maswala ya diet wako vizuri ndo mana hata kama ana shida bado anaonekana yuko poa...sasa sisi waafrica diet hatuzingatii hivyo ukipata shida kidogo unachakaa vibaya sana
 
kwann watoto wadogo wakizunguwanavuatia sna kulko watotto wadogo wa tanzania africa. ukiwakuta park wanacheza unataman uwashike wasaf wanavutia. wana furaha mda wote kulko watoto wa tanzania au africa? kwann watoto wakzung wazur kwann
siku ukipata mtoto jitahidi kumpa lishe nzuri, mvishe vizuri awe smart mda wote, msimwache azurule ovyo kwenye majumba ya watu, mnunulie toys za kuchezea za kumjenga kiakili, alale masaa ya kutosha (app 12), ... utaona atakavyovutia kuliko hao wazungu..
 
Malezi bora ya mtoto yanaanza toka siku mnayopigana mabao. Nyie mnaopigana mabao ya kushtukizana na bahati mbaya ndo mtaishia kuwa na watoto hovyo.
 
kwann unasema hvo?
We hujui saaahv hakuna sukari?.
(Joke)...Ni hivii:-

Watoto wengi wa kiafrika wanakuwa katika maisha magumu sana na katika mazingira ya hovyo kabisa. Mbaya zaidi unakuta watoto wanazaliwa weengi hivyo hata mtoto mmoja kupata basic needs akiwa mdogo ni tatizo.

Imagine mtoto anazaliwa kijijini ambapo
-hakuna maji ya kutosha
-chakula cha uhakika,
-Lishe bora
-huduma bora za afya
-Elimu sio bora
Na ana peers ambao nao ni wa maisha magumu pia kama yeye na wote wanakuwa kwenye vumbi.

Hata hapa TZ kuna tofauti ya kimuonekano kwa mtoto aliyezaliwa Arusha mjini au KLM mjini au hata Mwanza mjini katika upper au middle class family na yule wa poor family kijijini.

Na pia Waafrika wengi na watoto wetu tuna stresses nyingi sana za kimaisha. SHIDA TUPU.
 
kwann watoto wadogo wakizunguwanavuatia sna kulko watotto wadogo wa tanzania africa. ukiwakuta park wanacheza unataman uwashike wasaf wanavutia. wana furaha mda wote kulko watoto wa tanzania au africa? kwann watoto wakzung wazur kwann

Hawaishii hapo, huendelea kuvutia hata wakiwa watu wazima. Ona wanaume wengi wa kiafrika wanavyochangamkia kuoa wazungu! Yaani bibi wa kizungu akija huku ni kama bidhaa mpya. Pia angalia jitihada za wadada za kufanana na wazungu zilivyopamba moto!
 
kwann watoto wadogo wakizunguwanavuatia sna kulko watotto wadogo wa tanzania africa. ukiwakuta park wanacheza unataman uwashike wasaf wanavutia. wana furaha mda wote kulko watoto wa tanzania au africa? kwann watoto wakzung wazur kwann
Mkuu, mimi watoto wangu wanavutia tena sana tu. Wasafi, wachangamfu, wana afya nzuri, mmoja yuko chekechea na anafanya vizuri sana. Much love kwao.
 
Hakuna , kwani wewe unalea au unafuga. Sikutukani hapani, waafrika tunafuga watoto, hatulei! Tafuta tofauti kati ya kulea na kufuga then utaona kuwa tunafuga, hatulei!

sina shaka wewe bado mvulana! mwanaume hawezi kuongea haya maneno ya kijinga! hakuna mzazi asietaka wanae wawe na maisha mazuri na malezi bora kuna mambo mengi yanayo determine malezi ya watoto. ..."endelea kupiga nyeto"...
 
mi mwanangu ana vutia tena saana ukimuona utatamani umshike pia.hata wako hakuvutii mkuu?na huko park pia ukiwakuta hata waswahili wanavutia acha imani zako za ajabu kichwani.
 
Back
Top Bottom