GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,221
Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Hivi unajua kuwa umenifanya Nicheke sana Mkuu? Yaani kila nikisoma hii Post yako najikuta naangua tu Kicheko Mkuu.Hawana shida yeyote sasa sisi huwa tunalia tutafanyaje haya maisha..
Hii niyo ni point kubwa 😂Hawana shida yeyote sasa sisi huwa tunalia tutafanyaje haya maisha..
Picha wapi GENTAMYCINE nawewe umeanza umbeya?Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Nakubaliana na Wewe Mkuu.Watakuwa wako associated zaidi na ujombani. Watoto wa hivyo ndio Mara nyingi wako hivyo.
Yaani Comments za huu Uzi leo zitaumiza sana Mbavu zangu kwa Kucheka.Tigo pesa zero
Bank Acc weka jiwe weka jiweee.
Ukijumlisha mizozo unayoina ya kugombania kilichopo....aaah yanaanguka na Sauti hujui inatokea wapi unastuka unatoa mlio ndama Hana.
Kwamba mzee kanyolewa wanatia zao maji sababu wanajua njaa inaua siyo?Walie nini baba ameacha pesa na mali nyingi?!! Watoto huwa wanalia kwa sababu wanajua baba akifa hawana pa kushika na wao wanaweza kufa
ExactlyKwamba mzee kanyolewa wanatia zao maji sababu wanajua njaa inaua siyo?