Kwanini wasanii wa Mwanza mnapenda sana kuigiza kisukuma kwenye nyimbo zenu

Na wale wanaosema "A City in the House. Wengine "Hakuna mahali kama..."
Bado kina Linex
Ommy Dimpoz
Izzo Business ana wimbo unaitwa tumogere (kinyakyusa)
Saida Karoli
Makhirikhiri
Oliver Mtukuzi
Mafiki Zolo
Wanne star
Rais wa uturuki

Jamani tuache mada nyingine za ajabu.
 
Mmmh utakuwa na visa na wasukuma ww, mbona wasanii wengine kibao tu wanachomeka na vilugha vyao mf kina linex,.


Ikitokea umehamia mwanza ndio utachoka kabisa na sisi,,, kwani huku ni ndio kuna wasanii kama kina Budagala wao ni full kisukuma na nyimbo zao zinapigwa sana mitaani na kwenye mabaa na daladala pia.. Hao uliowataja ni wachache tu waliotokamo..

Kama unazo za Budagala, sema nikuPM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom