Kwanini waruhusiwe kuoa wake wanne na sio waume wanne?

Ni ushetani tu ulioitiwa ni taratibu za kidini ili kutetea uzinzi na uasherati kwani Mungu alipo muumba Adam na kisha kumletea msaidizi wake Hawa na mbona hakumletea na Aisha na Ummy na Husna na Hadija? hakujua anachokifanya mpaka eti wanadamu tena wenye dhambi ndio waje wafanyie marekebisho acheni ujinga wenu hapa Mume mmoja kwa Mke mmoja mengine ni Ushetani hata uuvishe nini!
Huyo Mungu aliyemuumba Adam na Hawa ndiye aliyempa Hekima mfalme Sulemani mpaka akaoa wake zaidi ya hao wanne pia akampa uwezo na ufunuo kwa mtumishi wake Daudi naye akamiliki wake wengi tu.So msijaribu kukosoa mipango ya Mungu kwa wake jamani.

Kuna sababu kadhaa wa kadha
1: Maumbile ya mwanamke na mwanaume ni tofauti.
2: Mwanamke akifanya tendo la ndoa na wanaume tofauti tofauti, huchoka, hukongoroka, hupoteza mvuto wake n.k.
3: Kwa mwanamke nature yake itafikia kipindi atajifungua mtoto, utata juu ya kiumbe kitakachozaliwa utajitokeza, nani atakuwa baba halali wa mtoto n.k. Najua unaweza sema kuna DNA, ila mwenyewe utakuwa ni shahidi kwamba pamoja na kuwepo kwa DNA ishu ya kugombania watoto kwa wanaume ipo hata mtu akiambiwa si wake sometimes hung'ang'ania kuwa ni wake since alishawahi kujamiiana na mwanamke husika
4: Ni zawadi toka kwa Mungu, imekuja si kwa kulazimishwa kuwa lazima mwanaume aoe wake wanne, lakini pia kufanya hivyo kumewekewa masharti na masharti hayo lazima yatimizwe
5: Mungu ndie awajuae zaidi viumbe wake, hivyo kusema hivyo hakukosea
6: Kufanya maoenzi na wanaume wengi kiafya si nzuri kwa mwanamke kuna athari kubwa sana ya manii kuvunda, kujenga vishimo n.k katika utupu wa mwanamke. Hii ipo scientifically zake
7: Idadi ya wanawake kuwa kubwa kuliko wanaume. Ratio is not 1:1
8: Kuwasitiri wanawake wajane.
n.k

Hizo ni baadhi tu ya sababu.

Masha Allaah umejibu kwa hekma sana,
Karibu uzeebusara

jinsi mwanamke anaonwa kuwa chombo cha starehe. mifano kibao kumfananisha na chombo. so atumiwe tu akionwa kazeeka, on to the next.

utafikiri wanaume hawazeekagi na mambupu yao kushuka shuuu kama kengele za.........kwanza manii ya mwanaume mzee TOFAUTI na ya kijana.

Ni mwanamke asiyejielewa atadanganywa na mwanaume kuwa kakongoroka.

na wanawake nao wakizaa wanajiachiaa halafu baadae wanawaambia wenzao umeshazaa huna jipya. wanawake na nyie ndo mnachangia wanaume wapumbavu kusema ovyo ovyo.

Unaweza kuchukua glasi nne kila moja ukaitemea mate na ukajua kuwa haya ni mate yangu, lakini huwezi kuchukua glasi moja ukawapa watu nne watemee mate, halafu ukaweza kutoa mate ya kila mmoja.

Ngoja female rights activists wapitie huu uzi. Watahalalisha tu very soon.

Sio mbaya kuuliza ndugu zangu mnaoruhusiwa kuoa wanawake wanne kwanini na wao wasirusiwe kuolewa na wanaume wanne.

Tufike wakati tuwe na usawa kidogo kama nyumbani tumefikia kuleta vyakula pamoja basi na huku sheria tuwe sawa.
Sikuhiziumeanzakuandikavizurisana.keepitup.

Ni ushetani tu ulioitiwa ni taratibu za kidini ili kutetea uzinzi na uasherati kwani Mungu alipo muumba Adam na kisha kumletea msaidizi wake Hawa na mbona hakumletea na Aisha na Ummy na Husna na Hadija? hakujua anachokifanya mpaka eti wanadamu tena wenye dhambi ndio waje wafanyie marekebisho acheni ujinga wenu hapa Mume mmoja kwa Mke mmoja mengine ni Ushetani hata uuvishe nini!
Acha sifa za kijinga kukebehi dini na imani za watu wewe kama si mdau wa wake wanne unapoteza tu

Kuna sababu kadhaa wa kadha
1: Maumbile ya mwanamke na mwanaume ni tofauti.
2: Mwanamke akifanya tendo la ndoa na wanaume tofauti tofauti, huchoka, hukongoroka, hupoteza mvuto wake n.k.
3: Kwa mwanamke nature yake itafikia kipindi atajifungua mtoto, utata juu ya kiumbe kitakachozaliwa utajitokeza, nani atakuwa baba halali wa mtoto n.k. Najua unaweza sema kuna DNA, ila mwenyewe utakuwa ni shahidi kwamba pamoja na kuwepo kwa DNA ishu ya kugombania watoto kwa wanaume ipo hata mtu akiambiwa si wake sometimes hung'ang'ania kuwa ni wake since alishawahi kujamiiana na mwanamke husika
4: Ni zawadi toka kwa Mungu, imekuja si kwa kulazimishwa kuwa lazima mwanaume aoe wake wanne, lakini pia kufanya hivyo kumewekewa masharti na masharti hayo lazima yatimizwe
5: Mungu ndie awajuae zaidi viumbe wake, hivyo kusema hivyo hakukosea
6: Kufanya maoenzi na wanaume wengi kiafya si nzuri kwa mwanamke kuna athari kubwa sana ya manii kuvunda, kujenga vishimo n.k katika utupu wa mwanamke. Hii ipo scientifically zake
7: Idadi ya wanawake kuwa kubwa kuliko wanaume. Ratio is not 1:1
8: Kuwasitiri wanawake wajane.
n.k

Hizo ni baadhi tu ya sababu.
Mungu alisema wapi muoe wanawake zaidi ya mmoja? Hv unadhani Mungu alishindwa kumuumba Adamu akampa hawa, Asia, mariam, Josephine? Ndoa ni ya watu wawili bana. Mungu angetaka hvo basi angempa adamu wake zaidi ya mmoja. Tamaa yenu msimcngzie na Mungu.

Sio mbaya kuuliza ndugu zangu mnaoruhusiwa kuoa wanawake wanne kwanini na wao wasirusiwe kuolewa na wanaume wanne.

Tufike wakati tuwe na usawa kidogo kama nyumbani tumefikia kuleta vyakula pamoja basi na huku sheria tuwe sawa.

Mwenyezi Mungu Anasema:

وَإِنْ خِفْتُمْ أَلاَّ تُقْسِطُواْ فِي الْيَتَامَى فَانكِحُوامَا طَابَ لَكُم مِّنَ النِّسَاء مَثْنَى وَثُلاَثَ وَرُبَاعَ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلاَّ تَعْدِلُواْفَوَاحِدَةً

“Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu.” An-Nisaa: 3

Mambo mawili yanawatatanisha watu katika aya hii, nayo ni:

1.Uko wapo uhusiano baina ya kutowafanyia uadilifu mayatima na kuoa mke zaidi ya mmoja?

2.Si dhulma hii katika Uislamu kwa mwanamume aruhusiwe kuoa mke zaidi ya mmoja na mwanamke asiruhusiwe kuolewa na mume zaidi ya mmoja?

3.Kisha kuoa huku mke zaidi ya mmoja kumewekewa sharti la uadilifu. Mwenyezi Mungu Amesema:“Na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu.”

Na hili ni jambo lisilowezekana, kama ilivyoelezwa ndani ya Qur-aan katika sura hiyo hiyo.

Mwenyezi Mungu Anasema:

وَلَن تَسْتَطِيعُواْ أَن تَعْدِلُواْ بَيْنَ النِّسَاء وَلَوْ حَرَصْتُمْ فَلاَ تَمِيلُواْ كُلَّ الْمَيْلِ فَتَذَرُوهَا كَالْمُعَلَّقَةِ وَإِن تُصْلِحُواْ وَتَتَّقُواْ فَإِنَّ اللّهَ كَانَ غَفُوراً رَّحِيماً

“Wala hamtaweza kufanya uadilifu baina ya wake, hata mkikakamia. Kwa hivyo msimili moja kwa moja mkamwacha (mmojawapo) kama aliyetundikwa. Na mkisikizana na mkamcha Mungu basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira na Mwenye kurehemu” An-Nisaa: 129

4.Na ikiwa kuoa huko zaidi ya mke mmoja kama ilivyoruhusiwa katika aya, kwa nini basi Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Llaahu ‘alayhi wa sallam) alioa zaidi ya hao? Alioa wake tisa wakati mmoja.

Mambo haya yaliyowababaisha watu yaliyomo ndani ya aya hii ni dalili ya kufahamika vibaya kwa aya, na kutokana na haya kukatendeka aina nyingi za ufisadi na kufru. Na jambo hili wamelifanya Waislamu na wasiokuwa Waislamu, na pia makundi mbali mbali ya mafisadi, na kila anayetaka kuitia ila dini hii akatoka katika njia ya Mwenyezi Mungu.

Tunaanza kusahihisha kufahamika vibaya kwa aya hii kwa kujibu hoja moja baada ya nyingine, kwa haraka na kwa muhtasari.

Tunasema: huku tukimuomba Mwenyezi Mungu Atusahilishie na atupe tawfiyq;

Kuhusu uhusiano baina ya kutowafanyia uadilifu mayatima na kuoa wake zaidi ya mmoja, kwa mwenye kuzizingatia vizuri aya kumi za mwanzo za Surat An-Nisaa, ataona kuwa karibu aya zote zinaelezea juu ya mayatima, na baada ya aya ya mwanzo ambayo ndani yake imejumuisha baina ya usia wa kumcha Mungu, aya ya pili ikaanza moja kwa moja kuzungumza juu ya mayatima, iliposema:

وَآتُواْ الْيَتَامَى أَمْوَالَهُمْ

“Na wapeni mayatima mali yao.” An-Nisaa: 2

Na hizi ni aya zenye kuamrisha kuhifadhiwa kwa mali ya mayatima na kuzichunga vizuri zisipotee, na zinakataza kuikaribia isipokuwa kwa njia bora kwa ajili ya kuhifadhi mali hiyo au kuifanyia biashara tena kwa uadilifu. Uadilifu huo unatakiwa ufikie kiwango cha hali ya juu kilichowekewa na Uislamu katika utukufu wa sheria zake na namna ya kulea mayatima na madhaifu.

Na katika Hadiyth, Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Llaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:

إِنِّي أُحَرِّجُ حَقَّ الضَّعِيفَيْنِ: الْيَتِيمِ وَالْمَرْأَةِ.

“Mimi ninaharamisha (kupotea kwa) haki ya madhaifu wawili; Yatima na Mwanamke.” Ibn Maajah na Ibn Hibbaan na Ahmad na Al-Haakim na imesahihishwa na Adh-Dhahaby

Na mwanamke anapokuwa yatima, hapo anakuwa amejumuisha udhaifu mara mbili. Kwa ajili hiyo Uislamu ukaupa umuhimu mkubwa sana ‘haki za mayatima’ na ukasisitiza juu ya uadilifu mkubwa unaotakiwa katika kuhifadhi mali zao katika mandhari bora kupita zote inayonasibiana na umuhimu wa sheria hii.

Ndipo Mwenyezi Mungu Aliposema:

Na hii ni kwa sababu wakati wa ujahilia, mwanamume alikuwa akilea mwanamke yatima nyumbani kwake, kisha binti huyo akishakuwa akapendezwa na uzuri wake na mali yake, mlezi wake hutaka kumuoa kwa sababu ya kujiepusha na gharama za kumlisha na kumvisha, na kwa vile yeye ndiye mlezi na msimamizi wa mambo yake, alikuwa akiruhusiwa kufanya hivyo. Kwa hivyo anamuoa kwa ajili ya mali yake na uzuri wake bila ya kulipa mahari wala kulipa haki yoyote katika haki zake. Ndipo Mwenyezi Mungu Alipokataza kitendo hicho Akaamrisha kuwafanyia uadilifu na kuwalipa mahari kwa ukamilifu kama wanavyolipwa wanawake wengine. Na kama hawataki basi wakaoe wanawake wengine wasiokuwa wao.

فَانكِحُوامَا طَابَ لَكُم مِّنَ النِّسَاءمَثْنَى وَثُلاَثَ وَرُبَاعَ

“basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane” An-Nisaa: 3

Kama vile Uislamu ulivyokataza mwenendo huu usiokuwa na uadilifu ndani yake kwa mayatima wanawake, mkabala wake ulikataza pia njia nyingine ambayo mtu alikuwa akilea yatima ambaye hana uzuri wa hivyo wala hana mali, au anakuwa mzuri kidogo na ana mali kidogo, kisha mlezi huyo akataka kumuowa.Mwenyezi Mungu Akateremsha aya isemayo:

وَيَسْتَفْتُونَكَ فِي النِّسَاء قُلِ اللّهُ يُفْتِيكُمْفِيهِنَّ وَمَا يُتْلَى عَلَيْكُمْ فِي الْكِتَابِ فِي يَتَامَى النِّسَاءالَّلاتِي لاَ تُؤْتُونَهُنَّ مَا كُتِبَ لَهُنَّ وَتَرْغَبُونَ أَن تَنكِحُوهُنَّوَالْمُسْتَضْعَفِينَ مِنَ الْوِلْدَانِ وَأَن تَقُومُواْ لِلْيَتَامَىبِالْقِسْطِ وَمَا تَفْعَلُواْ مِنْ خَيْرٍ فَإِنَّ اللّهَ كَانَ بِهِ عَلِيماً

“Wanakuuliza nini sharia ya wanawake. Sema: Mwenyezi Mungu Anakutoleeni fatwa juu yao, na mnayosomewa humu Kitabuni kukhusu mayatima wanawake ambao hamwapi walichoandikiwa, na mnapenda kuwaoa, na kukhusu wanyonge katika watoto, na kwamba mwasimamie mayatima kwa uadilifu. Na kheri yoyote mnayofanya Mwenyezi Mungu Anaijua” An-Nisaa: 127

Na katika tafsiri nyingne, wafasiri wa Qur-aan Tukufu wamesema pia kuwa pale Mwenyezi Mungu Alipokataza dhulma na kutowafanyia uadilifu mayatima, Alikataza pia dhulma na kutowafanyia uadilifu wanawake kwa wenye kuoa zaidi ya mke mmoja.

Kwa hivyo kama ilivyoamrishwa kuwafanyia uadilifu mayatima, ikaamrishwa pia kuwafanyia uadilifu wanawake kwa wenye kuoa zaidi ya mke mmoja. Uadilifu unalazimika katika yote mawili, na huu ndio uhusiano uliopo katika aya baina ya kutowafanyia uadilifu mayatima na kuoa mke zaidi ya mmoja.

Mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu acha watu wapige kelele za haki sawa ila ndo vile mission impossible tokea Beijing walipokutana...Mambo ya dini na Imani za watu yasiingiliwe

Mungu alisema wapi muoe wanawake zaidi ya mmoja? Hv unadhani Mungu alishindwa kumuumba Adamu akampa hawa, Asia, mariam, Josephine? Ndoa ni ya watu wawili bana. Mungu angetaka hvo basi angempa adamu wake zaidi ya mmoja. Tamaa yenu msimcngzie na Mungu.
kama wewe ni binti muislam mwenye kuitambua dini yako basi utaelelewa haya ninayokufunulia. lkn kama ni wa upande ulee wa pili basi huna haki ya kupayuka kwa mambo usiyoyajua na haswa mambo ya dini. umezaliwa umemkuta mama yako aliyekuzaa ni wa upande huo na ndio maana umemfuata itikadi uliyomkuta nayo. na ungemkuta pia ni katika upande mwingine ni ukweli pia ungemfuata huko alikoaminia. JIREKEBISHE NA CHUNGA NDIMI YAKO USIPAYUKE KAMA UMEREWWA TAPTAP....

SOMA HAYA UJITAMBUE:-

Mwenyezi Mungu Anasema:

وَإِنْ خِفْتُمْ أَلاَّ تُقْسِطُواْ فِي الْيَتَامَى فَانكِحُوامَا طَابَ لَكُم مِّنَ النِّسَاء مَثْنَى وَثُلاَثَ وَرُبَاعَ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلاَّ تَعْدِلُواْفَوَاحِدَةً

“Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu.” An-Nisaa: 3

Mambo mawili yanawatatanisha watu katika aya hii, nayo ni:

1.Uko wapo uhusiano baina ya kutowafanyia uadilifu mayatima na kuoa mke zaidi ya mmoja?

2.Si dhulma hii katika Uislamu kwa mwanamume aruhusiwe kuoa mke zaidi ya mmoja na mwanamke asiruhusiwe kuolewa na mume zaidi ya mmoja?

3.Kisha kuoa huku mke zaidi ya mmoja kumewekewa sharti la uadilifu. Mwenyezi Mungu Amesema:“Na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu.”

Na hili ni jambo lisilowezekana, kama ilivyoelezwa ndani ya Qur-aan katika sura hiyo hiyo.

Mwenyezi Mungu Anasema:

وَلَن تَسْتَطِيعُواْ أَن تَعْدِلُواْ بَيْنَ النِّسَاء وَلَوْ حَرَصْتُمْ فَلاَ تَمِيلُواْ كُلَّ الْمَيْلِ فَتَذَرُوهَا كَالْمُعَلَّقَةِ وَإِن تُصْلِحُواْ وَتَتَّقُواْ فَإِنَّ اللّهَ كَانَ غَفُوراً رَّحِيماً

“Wala hamtaweza kufanya uadilifu baina ya wake, hata mkikakamia. Kwa hivyo msimili moja kwa moja mkamwacha (mmojawapo) kama aliyetundikwa. Na mkisikizana na mkamcha Mungu basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira na Mwenye kurehemu” An-Nisaa: 129

4.Na ikiwa kuoa huko zaidi ya mke mmoja kama ilivyoruhusiwa katika aya, kwa nini basi Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Llaahu ‘alayhi wa sallam) alioa zaidi ya hao? Alioa wake tisa wakati mmoja.

Mambo haya yaliyowababaisha watu yaliyomo ndani ya aya hii ni dalili ya kufahamika vibaya kwa aya, na kutokana na haya kukatendeka aina nyingi za ufisadi na kufru. Na jambo hili wamelifanya Waislamu na wasiokuwa Waislamu, na pia makundi mbali mbali ya mafisadi, na kila anayetaka kuitia ila dini hii akatoka katika njia ya Mwenyezi Mungu.

Tunaanza kusahihisha kufahamika vibaya kwa aya hii kwa kujibu hoja moja baada ya nyingine, kwa haraka na kwa muhtasari.

Tunasema: huku tukimuomba Mwenyezi Mungu Atusahilishie na atupe tawfiyq;

Kuhusu uhusiano baina ya kutowafanyia uadilifu mayatima na kuoa wake zaidi ya mmoja, kwa mwenye kuzizingatia vizuri aya kumi za mwanzo za Surat An-Nisaa, ataona kuwa karibu aya zote zinaelezea juu ya mayatima, na baada ya aya ya mwanzo ambayo ndani yake imejumuisha baina ya usia wa kumcha Mungu, aya ya pili ikaanza moja kwa moja kuzungumza juu ya mayatima, iliposema:

وَآتُواْ الْيَتَامَى أَمْوَالَهُمْ

“Na wapeni mayatima mali yao.” An-Nisaa: 2

Na hizi ni aya zenye kuamrisha kuhifadhiwa kwa mali ya mayatima na kuzichunga vizuri zisipotee, na zinakataza kuikaribia isipokuwa kwa njia bora kwa ajili ya kuhifadhi mali hiyo au kuifanyia biashara tena kwa uadilifu. Uadilifu huo unatakiwa ufikie kiwango cha hali ya juu kilichowekewa na Uislamu katika utukufu wa sheria zake na namna ya kulea mayatima na madhaifu.

Na katika Hadiyth, Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Llaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:

إِنِّي أُحَرِّجُ حَقَّ الضَّعِيفَيْنِ: الْيَتِيمِ وَالْمَرْأَةِ.

“Mimi ninaharamisha (kupotea kwa) haki ya madhaifu wawili; Yatima na Mwanamke.” Ibn Maajah na Ibn Hibbaan na Ahmad na Al-Haakim na imesahihishwa na Adh-Dhahaby

Na mwanamke anapokuwa yatima, hapo anakuwa amejumuisha udhaifu mara mbili. Kwa ajili hiyo Uislamu ukaupa umuhimu mkubwa sana ‘haki za mayatima’ na ukasisitiza juu ya uadilifu mkubwa unaotakiwa katika kuhifadhi mali zao katika mandhari bora kupita zote inayonasibiana na umuhimu wa sheria hii.

Ndipo Mwenyezi Mungu Aliposema:

وَإِنْ خِفْتُمْ أَلاَّ تُقْسِطُواْ فِي الْيَتَامَى فَانكِحُوامَا طَابَ لَكُم مِّنَ النِّسَاء مَثْنَى وَثُلاَثَ وَرُبَاعَ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلاَّ تَعْدِلُواْفَوَاحِدَةً

“Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu.” An-Nisaa: 3

Na hii ni kwa sababu wakati wa ujahilia, mwanamume alikuwa akilea mwanamke yatima nyumbani kwake, kisha binti huyo akishakuwa akapendezwa na uzuri wake na mali yake, mlezi wake hutaka kumuoa kwa sababu ya kujiepusha na gharama za kumlisha na kumvisha, na kwa vile yeye ndiye mlezi na msimamizi wa mambo yake, alikuwa akiruhusiwa kufanya hivyo. Kwa hivyo anamuoa kwa ajili ya mali yake na uzuri wake bila ya kulipa mahari wala kulipa haki yoyote katika haki zake. Ndipo Mwenyezi Mungu Alipokataza kitendo hicho Akaamrisha kuwafanyia uadilifu na kuwalipa mahari kwa ukamilifu kama wanavyolipwa wanawake wengine. Na kama hawataki basi wakaoe wanawake wengine wasiokuwa wao.

فَانكِحُوامَا طَابَ لَكُم مِّنَ النِّسَاءمَثْنَى وَثُلاَثَ وَرُبَاعَ

“basi oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane” An-Nisaa: 3

Kama vile Uislamu ulivyokataza mwenendo huu usiokuwa na uadilifu ndani yake kwa mayatima wanawake, mkabala wake ulikataza pia njia nyingine ambayo mtu alikuwa akilea yatima ambaye hana uzuri wa hivyo wala hana mali, au anakuwa mzuri kidogo na ana mali kidogo, kisha mlezi huyo akataka kumuowa.Mwenyezi Mungu Akateremsha aya isemayo:

وَيَسْتَفْتُونَكَ فِي النِّسَاء قُلِ اللّهُ يُفْتِيكُمْفِيهِنَّ وَمَا يُتْلَى عَلَيْكُمْ فِي الْكِتَابِ فِي يَتَامَى النِّسَاءالَّلاتِي لاَ تُؤْتُونَهُنَّ مَا كُتِبَ لَهُنَّ وَتَرْغَبُونَ أَن تَنكِحُوهُنَّوَالْمُسْتَضْعَفِينَ مِنَ الْوِلْدَانِ وَأَن تَقُومُواْ لِلْيَتَامَىبِالْقِسْطِ وَمَا تَفْعَلُواْ مِنْ خَيْرٍ فَإِنَّ اللّهَ كَانَ بِهِ عَلِيماً

“Wanakuuliza nini sharia ya wanawake. Sema: Mwenyezi Mungu Anakutoleeni fatwa juu yao, na mnayosomewa humu Kitabuni kukhusu mayatima wanawake ambao hamwapi walichoandikiwa, na mnapenda kuwaoa, na kukhusu wanyonge katika watoto, na kwamba mwasimamie mayatima kwa uadilifu. Na kheri yoyote mnayofanya Mwenyezi Mungu Anaijua” An-Nisaa: 127

Na katika tafsiri nyingne, wafasiri wa Qur-aan Tukufu wamesema pia kuwa pale Mwenyezi Mungu Alipokataza dhulma na kutowafanyia uadilifu mayatima, Alikataza pia dhulma na kutowafanyia uadilifu wanawake kwa wenye kuoa zaidi ya mke mmoja.

Kwa hivyo kama ilivyoamrishwa kuwafanyia uadilifu mayatima, ikaamrishwa pia kuwafanyia uadilifu wanawake kwa wenye kuoa zaidi ya mke mmoja. Uadilifu unalazimika katika yote mawili, na huu ndio uhusiano uliopo katika aya baina ya kutowafanyia uadilifu mayatima na kuoa mke zaidi ya mmoja.

Mungu alisema wapi muoe wanawake zaidi ya mmoja? Hv unadhani Mungu alishindwa kumuumba Adamu akampa hawa, Asia, mariam, Josephine? Ndoa ni ya watu wawili bana. Mungu angetaka hvo basi angempa adamu wake zaidi ya mmoja. Tamaa yenu msimcngzie na Mungu.
Kwa kuwa dini si yako na ni mvivu wa kusoma na kufuatilia ndo maana hujui Mungu amesema wapi. Jenga utamaduni wa kufanya tafiti kwanza na kujiridhisha kabla ya kubwabwaja. Huwa sipendi kutumia lugha kali ila hapa imenibidi..umeboa

1. Mtu mmoja anaweza kuingia choo zaidi ya kimoja asitoke na harufu mbaya. Choo kinachotumiwa na wengi nadhani unajua kinavyokuwa.

2. Dereva mmoja anaweza kuendesha gari zaidi ya moja bila ya yeye kukongoroka. Gari inayoendeshwa na wengi nadhani unajua inavyokuwa.

3. Nirahisi kuazimisha MCHI kuliko KINU, mchi ni rahisi kusafisha. Kinu usafishaji wake nadhani unajua. Usiombe uliemuazimisha akatwangia kisamvu, ukitia mchele ujue utatoka kijani.
Dah...Maneno hayo.

Kwa kuwa dini si yako na ni mvivu wa kusoma na kufuatilia ndo maana hujui Mungu amesema wapi. Jenga utamaduni wa kufanya tafiti kwanza na kujiridhisha kabla ya kubwabwaja. Huwa sipendi kutumia lugha kali ila hapa imenibidi..umeboa
Ukweli unauma.

Ni ushetani tu ulioitiwa ni taratibu za kidini ili kutetea uzinzi na uasherati kwani Mungu alipo muumba Adam na kisha kumletea msaidizi wake Hawa na mbona hakumletea na Aisha na Ummy na Husna na Hadija? hakujua anachokifanya mpaka eti wanadamu tena wenye dhambi ndio waje wafanyie marekebisho acheni ujinga wenu hapa Mume mmoja kwa Mke mmoja mengine ni Ushetani hata uuvishe nini!
asante ndugu

Mwanammea anaweza kulala na wote wanne kwa siku lakini sio mwanamke alale na minjemba wanne.

Back
Top Bottom