Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 85,394
- 167,582
sawa mwanaume wa kizungu unaekuja kulia lia sbbu umeombwa zawadi ya bday
Hili nalo ajabu lingine, tena si kulialia tu bali na povu la hatari.
sawa mwanaume wa kizungu unaekuja kulia lia sbbu umeombwa zawadi ya bday
acha tu ndio mpenzi wa mtu huyoNa amemuomba zawadi, its simple aamue kumpa au amwambie hampi, alafu hapo kujidhalilisha kukoje au mie ndio mzito kuelewa!! Huyu ana lake jambo sio bure!
hahahhah harafu povu anatumalizia sisi kama ndio tumeomba zawadi ya bday
Hili nalo ajabu lingine, tena si kulialia tu bali na povu la hatari.
hiki nacho cha kuja kuanzisha thread kweli wanaume ni kiumbe kinachozidi kupotea
Haki magu atafanya watu wawehuke!acha tu ndio mpenzi wa mtu huyo
hahahhah harafu povu anatumalizia sisi kama ndio tumeomba zawadi ya bday
hahahhah rafiki ktk wanaume waliobaki wa kwangu yupo ujue yule ni mwanaumeNgoja yule wa kwako kule makapuku forum akusikie!
akaze kidogo awaonee huruma tuHaki magu atafanya watu wawehuke!
hayatusu sie mjibu mtu wako aliekuomba
Unadhani ugumu wa maisha ndio unaochangia watu kudhalilika au kudhalilishana kwa namna moja au nyingine, kwa mfano huyo dada kukuomba zawadi ni kajidhalilisha kwako maana wewe sio mtoaji ungekuwa ni mtoaji mzuri basi bidada asingedhalilika, vilevile kwa upande wako muanzisha mada umejidhalilisha kwetu kutokana na ugumu huo huo wa maisha kwasababu ungekuwa unacho basi ungempa binti pasipo kulalamika mbele ya kadamnasi, poleni sana wote yaan wewe na huyo binti aliye kuomba zawadi. Ushauri
Jitahid kutafuta kwa bidii ili upate cha ziada ikitokea ukaombwa basi utoe pasipo kusengenya. Mwanaume wa kweli halalamiki husimamia ukweli wake kama anacho anatoa without a word kama hana atasema sina.
Maana sio kwa usengenyaji huu.akaze kidogo awaonee huruma tu
Msengenyaji mwingine.Bisha sana ila ukweli mnajidhalilisha. Same thing happened to me last month. Mtu hatujaonana wala kuongea since 2010. Gafla kanikuta instagram, yani DM haipiti two hrs yupo. Salamu nyingi kujichekelesha sana, taarifa kibao. Na kukumbushiwa maombi ya zawadi. Basi mjifunze kutoka kwa first response. Ili mjiweke mbali. Mtu keshaonesha hana interest hata chembe, wewe bado upo tu. Kwa kifupi ni kweli mnajidhalilisha, period.
hahahhh itakua povu anatumalizia sie
Kwakweli, au nae kaomba akanyimwa ndio hasira kaja kuzimalizia humu!!
hahahhahaMaana sio kwa usengenyaji huu.
Msengenyaji mwingine.
Haaaaaahaaaaaaaa unanfurahisha sana we dada hadi nimekariri jina "Alzarel" nshawahi kusaidia sana tu 50 ktu gani? kusaidiana ipo leo umekwama ww kesho naweza kwama mm kwa shida tofauti kabisa ndio maisha yalivyo ila kinachokera mtu mna miaka tangu mmemaliza o-level hamjaonana kapewa namba na nani cjui anakupigia tu na mualiko wa bday au ndoa alimradi tu kupigana hela mnakera sana!Kingine unachoshangaza ni hapo unaposema kuwa anaendekeza Njaa...
Hivi wewe uliwahi hata kumsaidia mtu yeyote 50,000/= ?
Anataka sifa kwa akina Shunie hajui wanamng'ong'a lofa hyu!Siwez kulaumu kwa uelewa wako. Unadhan uanaume ni kuhonga kipuuzi? Huo ni Uboya. Na mwanadada makini hawez jidhalilisha kuomba zawadi kwa mtu ambaye hawakuwasiliana muda mrefu. Huo ni uswahili.