Kwanini wanawake wengi wanapenda kuolewa na wanaume wenye degree+?

Iko hivi.

●Mtu mwenye degree ana probability kubwa ya kutusua maisha kutokana na uwezo wa kusoma mazingira aliyopo, uwezo wa kudadisi na kufahamu fursa, exposure, flexibility ya fikra na mawazo nk. Hivyo mwanamke anaamini mtu mwenyw degree ataweza kuyamudu maisha kwa wepesi kuliko std 7.

●Mtu mwenye degree ana level fulani ya civilisation, yani kustaarabika. Mwanamke Anaamini ni rahisi mtu mwenye jiwe kuwa open minded kuliko darasa la 7. Mtu mwenye degree hataona ajabu kumruhusu mkewe kumiliki biashara nk, tofauti na darasa la 7 ambae atahisi anaeza zidiwa kipato hivyo hatompa mkewe uhuru nk...

●Mtu mwenye degree anakua na network fulani... hata kama yeye bado hajatusua lkn mwanamke anaBet kua huyo mtu anaeza kua na marafiki kwenye circle yake ambao wanaweza kutoa misaada ya kueleweka kipindi kigumu, tofauti na darasa la 7 ambae utakuta marafiki zake ni mafundi wa kuchomelea vyuma, kuuza korosho nk.

All in all mapenzi hayaangalii umri, Dini, elimu, kipato nk... lakini lkn mtu anaetafuta maisha lazima aangalie hivyo vitu, sasa unapoingia kwenye ndoa unatafuta mapenzi na maisha at the same time, so vitu kama elimu, dini, kipato vinamatter sn, kwasababu ndoa si kitu cha kuingia na kutoka, ni life long thingy.

Usitafute kisingizio kua kwasababu unabeba zege na wenye degree basi degree ni takataka... mtu unaebeba nae zege leo atakuacha ghafla unashangaa unakuja kubeba zege kwenye nyumba yake. So bro rudi shule mzee upate hiyo kitu.
Umemaliza kila kitu.
 
Ukipitia post nyingi za wadada hata kwenye vipindi vya redio wadada wanaotafuta wanaume kigezo chao kikuu ni mwanaume awe kasoma kuanzia ngaz ya degree nakuendelea.

Napenda kuuliza hivi hizo degree zina issue sikuizi?

Mbona hao wenye degree tunachoma nao mahindi mtaani sikuhizi na kufanya nao kazi za mtaani za kawaida kama kuuza mkaa,kulima matango ,kuzibua vyoo,kuuza ndara ,kubeba zege sawa na sisi tulioishia la Pili B.

Wadada degree sikuizi sio issue sana.Maana kila nyumba sikuizi inagraduate wa degree nk.Natunapiga nao kazi za kubeba zege kama sisi .

Hichi kigezo cha degree kinawasaidia nini wadada

Nashindwa kuelewa

nawasilisha

Mbali na Elimu Pia wanaamini kuwa Uzao wao utakuwa na Akili .........Yaani Vichwa Darasani
 
Ukipitia post nyingi za wadada hata kwenye vipindi vya redio wadada wanaotafuta wanaume kigezo chao kikuu ni mwanaume awe kasoma kuanzia ngaz ya degree nakuendelea.

Napenda kuuliza hivi hizo degree zina issue sikuizi?

Mbona hao wenye degree tunachoma nao mahindi mtaani sikuhizi na kufanya nao kazi za mtaani za kawaida kama kuuza mkaa,kulima matango ,kuzibua vyoo,kuuza ndara ,kubeba zege sawa na sisi tulioishia la Pili B.

Wadada degree sikuizi sio issue sana.Maana kila nyumba sikuizi inagraduate wa degree nk.Natunapiga nao kazi za kubeba zege kama sisi .

Hichi kigezo cha degree kinawasaidia nini wadada

Nashindwa kuelewa

nawasilisha
Kwasababu ww uloishia la pili nikikutajia mambo ya vikao kazini seminar cjui kwenda kusoma utakuwa hata hunielew vzur utawaza kuibiwa tu ww japo wenye degree nao wapo walo ivo ila nataka sote tushiriki kulea watoto isiwe kila kitu kwa watoto kwenye elimu mimi tuuuu homework unabisubir mm nirud kazin vikao niende mimi kila kitu mm alafu pia kwa mm km hujasoma hainipendezi that's all
 
Mnapiga nao hizo kazi lakini jiulize mtapiga nao kwa mda gani? Mara nyingi wanakuwa wamejiegesha kwa mda huku wakisubir mambo yao kukaa sawa
Kwa hiyo usijilinganishe nao hata siku moja

Ilikuaga zamani mkuu.Sio kwenye hizi zama za magu

Najamaa zangu kibao tunauza nao mahindi vijijini,wanapiga kazi sawa na sis tulioshia la 2B.degree sio issue izi zama
 
Kwasababu ww uloishia la pili nikikutajia mambo ya vikao kazini seminar cjui kwenda kusoma utakuwa hata hunielew vzur utawaza kuibiwa tu ww japo wenye degree nao wapo walo ivo ila nataka sote tushiriki kulea watoto isiwe kila kitu kwa watoto kwenye elimu mimi tuuuu homework unabisubir mm nirud kazin vikao niende mimi kila kitu mm alafu pia kwa mm km hujasoma hainipendezi that's all

Uoga wenu tu.Tena sisi tulioshia la 2B ndo rahisi kuishi free.Hatuna ujuaji wala kufatiliana sana.Ukiniambia unaenda semina nakubaliki kwa mikono yote.Ila msomi mwenzio ni rahisi kureason na kukukamata
 
Iko hivi.

●Mtu mwenye degree ana probability kubwa ya kutusua maisha kutokana na uwezo wa kusoma mazingira aliyopo, uwezo wa kudadisi na kufahamu fursa, exposure, flexibility ya fikra na mawazo nk. Hivyo mwanamke anaamini mtu mwenyw degree ataweza kuyamudu maisha kwa wepesi kuliko std 7.

●Mtu mwenye degree ana level fulani ya civilisation, yani kustaarabika. Mwanamke Anaamini ni rahisi mtu mwenye jiwe kuwa open minded kuliko darasa la 7. Mtu mwenye degree hataona ajabu kumruhusu mkewe kumiliki biashara nk, tofauti na darasa la 7 ambae atahisi anaeza zidiwa kipato hivyo hatompa mkewe uhuru nk...

●Mtu mwenye degree anakua na network fulani... hata kama yeye bado hajatusua lkn mwanamke anaBet kua huyo mtu anaeza kua na marafiki kwenye circle yake ambao wanaweza kutoa misaada ya kueleweka kipindi kigumu, tofauti na darasa la 7 ambae utakuta marafiki zake ni mafundi wa kuchomelea vyuma, kuuza korosho nk.

All in all mapenzi hayaangalii umri, Dini, elimu, kipato nk... lakini lkn mtu anaetafuta maisha lazima aangalie hivyo vitu, sasa unapoingia kwenye ndoa unatafuta mapenzi na maisha at the same time, so vitu kama elimu, dini, kipato vinamatter sn, kwasababu ndoa si kitu cha kuingia na kutoka, ni life long thingy.

Usitafute kisingizio kua kwasababu unabeba zege na wenye degree basi degree ni takataka... mtu unaebeba nae zege leo atakuacha ghafla unashangaa unakuja kubeba zege kwenye nyumba yake. So bro rudi shule mzee upate hiyo kitu.
Thread closed kwa kuongezea ni kwamba hakuna mtu anakera kama mwanaume kilaza najua degree sio kipimo cha intelligence na sio kila asiyesoma ni kilaza ila ndo hivyo
 
Uoga wenu tu.Tena sisi tulioshia la 2B ndo rahisi kuishi free.Hatuna ujuaji wala kufatiliana sana.Ukiniambia unaenda semina nakubaliki kwa mikono yote.Ila msomi mwenzio ni rahisi kureason na kukukamata
Km ntakuwa muaminifu hanikamati kwa kitu ila nikimzuga kweli atanishika kirahisi ila la pili naanzaje kumuelewesha mambo ya ofisini mmmh mtu anakuambia eti unapigiwa cm tumelala unaniacha ndani unaenda kazin mmmh inakuwa hatuishi kugombana ila anenda kikoni naenda kikaoni tunkutana ucku na hela zetu za kikao tumeshiba pilau la kikaoni hakuna vurugu hujapika
 
Haizuiliwi mtu mwenye degree kubeba zege bwana. Mbona wajerumani unakuta mtu ana degree lakini anakunja shati na kuchomelea madirisha? Huu utaratibu wa kiingereza tulio uiga siyo mzuri.

Kikubwa ni kwamba mtu mwenye degree ana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchambua mambo. Na wasichana wengi wanapenda kuwa chini ya watu wenye uwezo mkubwa zaidi yao
 
Kiukwel japo wanasema mapenz hayabagui huu ni uongo kabisa sometime yanabagua. Ukiwa na mwanaune hajasoma ni kero aisee hawana mawazo mapana, yaan conversation zao hazina msaada muda wote ww ndio unampa idea, they have no further desire ya mafanikio akiwa na kipato kidogo tu anaona keshafanikiwa
 
Back
Top Bottom