Kwanini wanawake wanapenda wanaume wapole?

Ukiwa na mwanaume mpole mwelewa unajihisi Amani.sio mwanaume kutwa kelele at a kunenepa hunenepi
 
Kwa haya mawazo yenu akinadada ingefaa zaidi kama Mkioana wenyewe since wote mnamtazamo mmoja..
Lakini kama sisi ndio waowaji endeleeni kujifariji muongeze siku..
 
Sasa tupende wagomvi ili iweje?mwanaume mpole ndo mpango mzima sio jitu kitu kidogo tu makelele, ugomvi, badala ya kukuelewesha kwa upole anaongea mpaka anasimamia kucha
True leo umenifanya nimalize siku yangu vizuri.
 
Sifa mojawapo ya watu wapole ni busara sasa hakuna MTU asiypenda watu wenye busara.
 
Last edited:
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa kwenye mahusiano na wanaume wapole,ni sababu zipi zinawafanya kuingia katika mahusiano na wanaume wapole ?

Karibuni
Kizungumkuti. Wengine wanapenda wakali, mfano Kurya baby.
 
Back
Top Bottom