Kwanini Wanawake waliotalikiwa au hata waliogombana tu na Wapenzi wao wa Kiume ni rahisi kutongozeka

Kuna mtu ka-hack id yako? Sio mwandiko na uandishi wako huu, nimezoea gazeti lenye wino uliokolezewa baadhi ya maneno.

Hata siku zingine ukienda Chooni ' Kunya ' unaweza ukaamua tu kubadili mwelekeo wa ukaaji na bado ' Makimba ' yakatoka vile vile.
 
Cha ajabu baada ya kugombana na mpnz wake wa zamn asipokuwa MAKINI.. atameng'enyuliwa hata na wanaume 30 ndy aje apate atleast PERMANENT MAN...wengine wote watapita tu.
 
Wanaoachwa kihasarahasara hugegedwa na yeyote atakaeonyesha sympathy. Ni bora alieachwa kuwa na utulivu.
 
Ni kwa sababu wanakuwa wamekwisha zoea kwichikwichi, kwa hiyo hawawezi kukaa muda mrefu, ukimuona ameachika wewe omba kwa upole tu lazima utapewa.
 
Ni wanawake tu ama???

Cc Smart911

Hapana mahondaw ... nadhani hii ipo hata kwa wanaume... ni kwa sababu za kukomoana tu hakuna lingine... "kuna kamsemo wanapenda kusema... ukiona cha nini wenzio wanasema watakipata lini"

Nashukuru Mungu sana, mimi na wewe mahondaw wangu, tuna sort out things na kuwa normal again, hatujawahi fikia huko...

# Love you sana mahondaw wangu #
 
Eti nasikia wakisemaga Hasira hasara


Cc Smart911

Hasira ni hasara kweli... na inashuriwa usitoea maamuzi wakati unahasira sana au wakati unafuraha sana... kwa sababu ukiwa na hasira utafanya vitu siyo, na ukiwa na furaha sana, utahaidi vitu ambavyo siyo...
 
Back
Top Bottom