Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,755
- 1,734
Na nyie kwanini mnapenda kupanda magari yasiyowahusu..
Mtadanganywa sana tu...
Mtadanganywa sana tu...
kweeendraaaMbona Nyie Mnadanya Mna Bk Kumbe Bwawa!
Maoni yako ama utafiti?wewe kama ulipata wanaume waongo ni kivyako mbona mimi na girl wangu tunafahamiana kila kitu kuhusu maisha yetu?Hakuna mwanaume mkweli dunian my dear
Mwanaume mkweli ni baba yko tu ndio hatokudanganya ili akupate atakueleza ukweli ili ukitoka nje ukikutana nayo ujue nikubali au nikatae.Leo nina jambo moja tu nataka kujua kutoka kwa wanaume, wanaume wengi kwanini mkiwa katika mahusiano na mpenzi, mchumba au mtu ambaye una mahusiano nae hampendi kueleza ukweli wenu juu ya maisha yenu mpaka mnadanganya na kusema uongo, mfano nina gari, nyumba na vitu vingi tu na kujisifu, mwisho wa siku unakuja kujua mapenzi yameiva, hivi nini sababu ya kudanganya, nisaidieni jamani.
Issabella ebu njoo PM tutete jambo moja muhimu...Ndiyo sipendi
Tatizo lenu wadada mnapenda sana magari ndo upumbavu wenu ngoja mkome dawa yenu ni hiyo hiyo ukijakushituka tayari una mimba raha sanaLeo nina jambo moja tu nataka kujua kutoka kwa wanaume, wanaume wengi kwanini mkiwa katika mahusiano na mpenzi, mchumba au mtu ambaye una mahusiano nae hampendi kueleza ukweli wenu juu ya maisha yenu mpaka mnadanganya na kusema uongo, mfano nina gari, nyumba na vitu vingi tu na kujisifu, mwisho wa siku unakuja kujua mapenzi yameiva, hivi nini sababu ya kudanganya, nisaidieni jamani.
Sasa kwani lazma upate? Nyie ndiyo mnazidi kuinyong'onyeza mioyo ya wanawake.ukiwa mkweli hupati kitu
Hahahahaaa pole maana ulijua gari unalomuona nalo ni lake na infact ana gari basi mjengo lazima awe nao ....Kam hivyo ulimdangany kwanza then baadae ndo ukamwambia ukweli, kiukwli hata mm sipend kitu kam hicho n nakupig kibuti kweli
Ukiwa mkweli utakuwa kama yule jamaa wa gazeti la sani wsnamwita PIMBI na harakati zakeUkweli ukuweka huru siku zote
Sababu kubwa ni nyie kupenda kuambiwa mnayopenda kuyasikiaLeo nina jambo moja tu nataka kujua kutoka kwa wanaume, wanaume wengi kwanini mkiwa katika mahusiano na mpenzi, mchumba au mtu ambaye una mahusiano nae hampendi kueleza ukweli wenu juu ya maisha yenu mpaka mnadanganya na kusema uongo, mfano nina gari, nyumba na vitu vingi tu na kujisifu, mwisho wa siku unakuja kujua mapenzi yameiva, hivi nini sababu ya kudanganya, nisaidieni jamani.
Bila uwongo kuwagegeda haiwezekani...Wanakua bado hawajamaliza mambo yao ndomana wanakua waongo