Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,581
Kuna wanaopenda mpira wa mviringo na wanaopenda mpira ule mwingine kama puto.kila mtu ana mapenzi na kitu chake..sio lazima kufata mkumbo...usiskilize watu,.. hata ukipenda mpira bado utaitwa mshamba na shabiki wa timu pinzani... people like to talk
Wote wanapenda mpira.
Na wengine wanapenda kuuza mechi wanafanya mchezo bila mpira.