Kwanini wanaume tukipenda na kujali kupitiliza huwa tunaonekana mafala na wadhaifu?

Unajua unakuta unaye mpenda wewe hadi kumtolea chozi yy hakupendiii na ansonyesha dhahiri kbs hutakiwi lkn kutokana nawewe kuwa deeply kwake huoniii ...ndiyoo maana mnaonekana mafala ila ukimfanyia hivyo mtu anaye kupenda dunia yooote utaiona tamuuu... Hutokaa uwaze km hela ni ngumuuu
 
Namtafuta wa hivyo
 
Umpende na kumjali sana kwani ni ndugu yako huyo? Mmejuana tu ukubwani wewe unajitoa kiasi hicho? Lazima uonekane zoba tu
 
Kwasababu mwanaume hatakiwi kuonesha udhaifu katika hali yoyote!!! Mapenzi ya kupitiliza mpaka kutoa chozi yanakufanya uonekane weak... Kuna wanawake tunapenda hivyo ila wengine tunaona ni kitu cha ajabu.
 
Ata mie mwanaume ya kila aiku yes bebi ata simtaki!!!
 
Na mkikutana wote mnapendana iyo ya kupitiliza hamna mtakachofanya ya maana!
 
Jirani nikwambie kitu, Ni mara chache sana inatokea watu wakapendana kwa kiwango sawa ,kwa uzoefu wangu lazima kuna mmoja huwa anazidi ,ndivyo fomula ilivyo,
Na ikitokea mwanaume au mwanamke akampenda mwenzie sana basi lazima yule mwenzie wa upande wa pili anze kuleta pozi
 
Kwasababu mwanaume hatakiwi kuonesha udhaifu katika hali yoyote!!! Mapenzi ya kupitiliza mpaka kutoa chozi yanakufanya uonekane weak... Kuna wanawake tunapenda hivyo ila wengine tunaona ni kitu cha ajabu.
umezungumza vizuri ,hadi raha kwa kweli
 
Mkuu hii ni sawa na wanaume wakipigana kisa binti moja wanaonekana mabwege lakini mabinti wakipigana kisa dume moja yaani atatembea kifua wazi kitaa hadi kitaa
Hapo kwenye kupigana hapo mkuu palinishinda ,
Hata nimpende vp mtoto wa kike ,ila niliapa sitokuja pigana kwa ajili ya mwanamke ,.
Nimejifunza kucontol Hisia zangu huwa siruhusu zinipelekeshe na kufanya zitakavyo
 
Mwanamke anapenda mwanamume mwenye msimamo, so kila anachotaka mwanamke wewe ni kufata tu, lazima akudharau.
 
Mwanamke anapenda mwanamume mwenye msimamo, so kila anachotaka mwanamke wewe ni kufata tu, lazima akudharau.
uko sahihi na ndoman wanaume wakorofi huwa wanadumu sana na wanawake
 
Sidhani wapo wengi tu Jirani wameshibana tunawaona....ukitaka kuamni tu kujaribu mm na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…