Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,520
- Thread starter
- #21
Yalinikuta hayo na nilipobadilika yule bnt had leo anajuta kunijua
Yalinikuta hayo na nilipobadilika yule bnt had leo anajuta kunijua
Namtafuta wa hivyoAkitokea mwanaume anayekupenda na kukujal na kukuthamini na kufikia mahali akamwaga chozi kwa ajili yako ,basi watoto wa kike humchukulia mwanaume huyu kama fala ,na mdhaifu ,na kumtumia watakavyo!!
Na ndo wanaongozwa kwa kuachwa kulikoni wale ambao hawajali sana watoto wa kike?
Ata mie mwanaume ya kila aiku yes bebi ata simtaki!!!Siku moja niliambiwa mke wako ukimfokea mara kwa mara ndo anakupenda nilijalibu nikaona kweri jaribu na ww kuwa mkari si mara nyingi atakupenda sana wanawake hawapendi mume awe mpore sanaaaaaa atakuona zuzu anatakiwa akifanya kitu kibaya afikirie la kukuambia sio akuchulie poa
Na mkikutana wote mnapendana iyo ya kupitiliza hamna mtakachofanya ya maana!Unajua unakuta unaye mpenda wewe hadi kumtolea chozi yy hakupendiii na ansonyesha dhahiri kbs hutakiwi lkn kutokana nawewe kuwa deeply kwake huoniii ...ndiyoo maana mnaonekana mafala ila ukimfanyia hivyo mtu anaye kupenda dunia yooote utaiona tamuuu... Hutokaa uwaze km hela ni ngumuuu
Wapo mkuu na huwezi wazania!!!Namtafuta wa hivyo
Jirani nikwambie kitu, Ni mara chache sana inatokea watu wakapendana kwa kiwango sawa ,kwa uzoefu wangu lazima kuna mmoja huwa anazidi ,ndivyo fomula ilivyo,Unajua unakuta unaye mpenda wewe hadi kumtolea chozi yy hakupendiii na ansonyesha dhahiri kbs hutakiwi lkn kutokana nawewe kuwa deeply kwake huoniii ...ndiyoo maana mnaonekana mafala ila ukimfanyia hivyo mtu anaye kupenda dunia yooote utaiona tamuuu... Hutokaa uwaze km hela ni ngumuuu
Si dhani kwa kwelihivi waweza ukayahusisha na makonde kadhaa kwa wale vichwa ngumu ilmuradi heshima iwepo?
hawa huwa hawatafutwi wanakuja automatic tuNamtafuta wa hivyo
Hakuna anaeweza kuyacontrol mapenziUmpende na kumjali sana kwani ni ndugu yako huyo? Mmejuana tu ukubwani wewe unajitoa kiasi hicho? Lazima uonekane zoba tu
umezungumza vizuri ,hadi raha kwa kweliKwasababu mwanaume hatakiwi kuonesha udhaifu katika hali yoyote!!! Mapenzi ya kupitiliza mpaka kutoa chozi yanakufanya uonekane weak... Kuna wanawake tunapenda hivyo ila wengine tunaona ni kitu cha ajabu.
Hapo kwenye kupigana hapo mkuu palinishinda ,Mkuu hii ni sawa na wanaume wakipigana kisa binti moja wanaonekana mabwege lakini mabinti wakipigana kisa dume moja yaani atatembea kifua wazi kitaa hadi kitaa
uko sahihi na ndoman wanaume wakorofi huwa wanadumu sana na wanawakeMwanamke anapenda mwanamume mwenye msimamo, so kila anachotaka mwanamke wewe ni kufata tu, lazima akudharau.
Sidhani wapo wengi tu Jirani wameshibana tunawaona....ukitaka kuamni tu kujaribu mm na weweJirani nikwambie kitu, Ni mara chache sana inatokea watu wakapendana kwa kiwango sawa ,kwa uzoefu wangu lazima kuna mmoja huwa anazidi ,ndivyo fomula ilivyo,
Na ikitokea mwanaume au mwanamke akampenda mwenzie sana basi lazima yule mwenzie wa upande wa pili anze kuleta pozi