DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
Wanaogopa kutumbuliwa na mwenye chair
Habari za leo wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye hoja hii yenye kuhitaji majibu sahihi. Nimekuwa nikiwaza sana kwamba tangu vita dhidi ya madawa ya kulevya iliyoanzishwa na RC Makonda ambayo imeamsha moto hata katika nchi JIRANI, lakini wanachadema wako KINYUME KABISA(They are against to ).
Hali hiyo inaniachia maswali mengi sana, mfano:
∆ Sijui wao ni watumiaji?
∆ Sijui wao ni wauzaji?
∆ Sijui viongozi wao wanahusika kwenye kusambaza au kuuza au kusafirisha?
∆ Sijui wafadhili wao ni wauza madawa?
KWANINI CHADEMA KISIMAME KINYUME NA HII VITA DHIDI YA MIHADARATI?
Dalili za ubashiteMachakoni Kwako
Wengi ni drug dealers. Wewe juilize inakuwaje Mbowe anaanza kujifanya kulima ili kutakatisha pesa za madawa. Vile vile Mch. Msigwa naye keshaanza kujifanya kulima ili kutakatisha fedha haram za madawa ya kulevya, na ndiyo maana serikali inawakomalia, na lazima iwadake tu, maana Mbowe shamba alishanyang'anywa, na watafuatilia miamala yake ya fedha yote. Hivyo ufipa ni genge la mafisadi na wauza madawa ya kulevya.Habari za leo wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye hoja hii yenye kuhitaji majibu sahihi. Nimekuwa nikiwaza sana kwamba tangu vita dhidi ya madawa ya kulevya iliyoanzishwa na RC Makonda ambayo imeamsha moto hata katika nchi JIRANI, lakini wanachadema wako KINYUME KABISA(They are against to ).
Hali hiyo inaniachia maswali mengi sana, mfano:
∆ Sijui wao ni watumiaji?
∆ Sijui wao ni wauzaji?
∆ Sijui viongozi wao wanahusika kwenye kusambaza au kuuza au kusafirisha?
∆ Sijui wafadhili wao ni wauza madawa?
KWANINI CHADEMA KISIMAME KINYUME NA HII VITA DHIDI YA MIHADARATI?
Nakuunga mkono mkuuHawana ajenda yoyote ya kijamii, kiuchumi au kisiasa. Wao ni kuunga mkono upuuzi kwa lengo la kuwagawanya Watz.
Habari za leo wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye hoja hii yenye kuhitaji majibu sahihi. Nimekuwa nikiwaza sana kwamba tangu vita dhidi ya madawa ya kulevya iliyoanzishwa na RC Makonda ambayo imeamsha moto hata katika nchi JIRANI, lakini wanachadema wako KINYUME KABISA(They are against to ).
Hali hiyo inaniachia maswali mengi sana, mfano:
∆ Sijui wao ni watumiaji?
∆ Sijui wao ni wauzaji?
∆ Sijui viongozi wao wanahusika kwenye kusambaza au kuuza au kusafirisha?
∆ Sijui wafadhili wao ni wauza madawa?
KWANINI CHADEMA KISIMAME KINYUME NA HII VITA DHIDI YA MIHADARATI?
Mwenyekiti wetu alitajwa. Mwanzoni tuliunga mkono watajwe mapapa sio vidagaa. Kumbe hatukujua kama hata chea wetu alishagundulika!! Piiipoooz!!!Habari za leo wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye hoja hii yenye kuhitaji majibu sahihi. Nimekuwa nikiwaza sana kwamba tangu vita dhidi ya madawa ya kulevya iliyoanzishwa na RC Makonda ambayo imeamsha moto hata katika nchi JIRANI, lakini wanachadema wako KINYUME KABISA(They are against to ).
Hali hiyo inaniachia maswali mengi sana, mfano:
∆ Sijui wao ni watumiaji?
∆ Sijui wao ni wauzaji?
∆ Sijui viongozi wao wanahusika kwenye kusambaza au kuuza au kusafirisha?
∆ Sijui wafadhili wao ni wauza madawa?
KWANINI CHADEMA KISIMAME KINYUME NA HII VITA DHIDI YA MIHADARATI?
Machakoni Kwako
Wewe kilaza kweli, kwanza akila zako zinakotosha? Umesikia cdm wanampiga kamishna wa dawa za kulevya? Hawakumtaka makonda, kwanza si kazi yake, pili utaratibu, na mbaya zaidi aliingiza siasa na chuki. Kwa taarifa yako ungesema kwa nini nape na wabunge wengine wa ccm wanapinga makonda?Habari za leo wana JF,