jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,643
- Thread starter
- #41
We unalipa au bingwa wakusukumizia wenzioIli tuwakute na kuwapita Anza kwanza kulipa kodi
We unalipa au bingwa wakusukumizia wenzioIli tuwakute na kuwapita Anza kwanza kulipa kodi
Kwa vyote....uchumi,siasa,talents and everything that makes a country greatMtoa mada elezea vizuri wakenya wanapenda kujilinganisha na Tanzania "" kivipi kama kimaendeleo hatuwafikii kiuchumi hatuwafikii kielimu hatuwafikii elezea vizuri
We ndio umenena ukweli sisi ndio tunajilinganisha na wao sio wao wanajilinganisha na sisi huo ni uongo ulio kubuhu.Wakenya wametuzidi sana, sisi ndiyo tunatakiwa kuiga kwao, nitasema ukweli tu
Nadhani kwa ukanda wa afrika ya mashariki sisi ndio tunawapa challenges katika maendeleo, japo kwa mbali!!Nachokisema ama kwann wakenya wanapenda kujilinganisha na tz tu hutawasikia hata siku moja wanajilinganisha na Uganda,somalia Rwanda au burundi
Sasa kosa ni la nani????Huu ukarimu wetu wao wanatuchukulia kama ni uvivu, 'naomba hichi tafadhali' ndiyo misemo yetu, mara nyingine lazima tubadilike!
Nimeishi Kenya kwa miaka saba , kusema ule ukweli wa Mungu waKenya wametuzidi karibu sehemu nyingi... kwa mwendo wetu wa sasa tunaokwenda nao baada ya miaka 15 tunaweza kuwapitaHabar JF active and inactive member,
Africa Mashariki ( East Afrika kuna nchi zaidi ya tatu Kenya,Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi huko mbeleni itaingia na Sudan kusini.
But nilichogundua Tanzania inawaumiza kichwa sana wakenya wakilala wakiamka wanaumiza kichwa kuhusu Tanzania. Basi bila shaka hili linanifanya niamini Wakenya na Kenya tumewazidi mambo mengi ndo maana kila siku wanahaha na siku inchi yao ikifungua project ndogo tu basi mwezi mzima watashinda wanapost na kuongelea.
Katika nchi zote hizi za East Afrika Wakenya hawajawahi kujisumbua kujicompare na Uganda wala Rwanda wala Burundi wao ni Tanzania, we soma post zao zote utajua tu kuwa wao wanahangaika kuifikia Tanzania.
SWALI LANGU BADO
Kwanini wakenya kila siku wanajicompare na Tanzania ndo kusema nchi nyingine hawazioni?
TANZANIA
View attachment 478819
View attachment 478820
KENYA
View attachment 478821
Tukiangalia hili swala kwa upande mwingine.
Ni kua sisi na wakenya ni wavivu kazi yetu kushinda mitandaoni kuonyesheana miradi na kuwaumbua wakenya kwa wizi wao kila leo wakati nchi zingine za E. Africa zipo bize kufanya kazi na kujiletea maendeleo.
Wametuzidi nini.?mbona kila siku wanatuota sisi tu.wanahangaika na sisi.Mara wasifie maliasili za tanzania ni zao.wametuzidi nini?tangu lini manji akatamani kuwa matonya?Wakenya wametuzidi sana, sisi ndiyo tunatakiwa kuiga kwao, nitasema ukweli tu
RwandaMfano ni nchi gani
na Maendeleo yapi?