Kwanini Wakenya hawajui kiswahili!!!

Sgr baadae kua electrified...nyinyi mnajenga electric na stigma mnayo ni 1200 mW
Wewe tuachie, tuna umeme wa kutosha, unafahamu Kinyerezi Project yote ikikamilika tunakuwa na kiasi gani, kuna umeme toka Zambia na Msumbiji, pia tunategemea kuingiza mwingine tokea Ethiopia, kupitia hapo kwenu.

Sasa tumeamua hatutaki mchezo
 
Nikiwasikiliza wakenya matamshi yao,huwa naskia kichefuchefu,mfano siku ile watoto waarusha walipopata ajari nilimsikia raisi wao kwenye kampeni akisema "nawauliza ndugu zangu tusimame dakika moja kuwaombea watoto...." Kwa hiyo ndugu zangu jitaidini kuongea vizuri kama watz,Rwanda Burundi ,Zanzibar Nk
inakusaidia nini inakuhusu nini ? watanzania tunashida sana za akili
 
Wewe tuachie, tuna umeme wa kutosha, unafahamu Kinyerezi Project yote ikikamilika tunakuwa na kiasi gani, kuna umeme toka Zambia na Msumbiji, pia tunategemea kuingiza mwingine tokea Ethiopia, kupitia hapo kwenu.

Sasa tumeamua hatutaki mchezo
So mnaplan kuimport umeme Tena????? Unaona misplaced priorities....sisi tutatumia diesel(iko turkana) then tukiunda nuclear (2022) tunaupgrade sgr ikue electric...mambo ya kuimport umeme zii
 
'Rugha' ndio nini, jameni mnatia kichefuchefu, uandishi wenu wa Kiswahili ni ovyo, Kingereza kilishawapiga chenga, lugha zenu za asili ziliwashinda eti mnasema ni ushamba, mnaishi kama watu wasiokua na asili yaani watumwa.
Jameni =jamani
Ovyo = hovyo

We mwenyewe huna ujualo... lugha za asili ndio namba moja kiswahili ni lugha ya pili na english ni ya tatu.... kajifunze kiswahili na historia
 
So mnaplan kuimport umeme Tena????? Unaona misplaced priorities....sisi tutatumia diesel(iko turkana) then tukiunda nuclear (2022) tunaupgrade sgr ikue electric...mambo ya kuimport umeme zii
Kuimport umeme ni suala la kawaida sana, hata nyie pale Isebania mnatumia umeme wa Tanzania.
 
Kwani watanzania wanajua kiingereza? Historia ya Kenya unaijua? Chimbuko la kiswahili unalijua?

Kukusaidia, Kenya was setler economy dat how colonialists walisambaza na kueneza lugha yao(kizungu) ili kuweza kufanikisha matakwa yao, je ktk historia unafkr nani angewafndsha kiswahili? Nyerere alitumia kiswahl ktuunganisha watz na pia hatukukaliwa na wazungu kama kenya dat how tunajua kiswahili kuliko Kenya!
 
Nikiwasikiliza wakenya matamshi yao,huwa naskia kichefuchefu,mfano siku ile watoto waarusha walipopata ajari nilimsikia raisi wao kwenye kampeni akisema "nawauliza ndugu zangu tusimame dakika moja kuwaombea watoto...." Kwa hiyo ndugu zangu jitaidini kuongea vizuri kama watz,Rwanda Burundi ,Zanzibar Nk
We mwenyew hujui alafu unawasema wenzio. Ajari ndo nini sasa.
 
Wakenya wanaongea sana kiswahili ila kiswahili chao kina tofauti fulani na kiswahili chetu Watanzania. Katika ukanda wa Afrika Mashariki ni Uganda na Rwanda pekee ndio hawakijui kiswahili.
 
Jameni =jamani
Ovyo = hovyo

We mwenyewe huna ujualo... lugha za asili ndio namba moja kiswahili ni lugha ya pili na english ni ya tatu.... kajifunze kiswahili na historia

Ndio maana nikasema mnatia huruma, uandishi wenu kwenye lugha ya Kiswahili ni majanga.
'Hovyo' na 'ovyo' ni vivumishi na pia ni visawe.
'Jamani' na 'Jameni' ni visawe pia.
 
Na ni Mtanzania!
Kwa hivyo hata nynyi hii lugha hamuijui sana kwa ufasaha mnavyodai. Yeye si wa kwanza kumuona akiandika hicho Kiswahili.
Sisi kwetu kuchanganya hili lugha na ndimi zingine hakumaanishi hatulijui. Tazama utafiti zinazoonyesha ya kwamba wanafunzi wa Kenya hufanya vyema katika somo la Kiswahili kuliko.wa Tanzania.

Ni vipi basi wakenya wengi zaidi ya watanzania wameajiriwa na makampuni ya teknolojia kama Facebook, Microsoft ama Google kutafsiri maagizo za programu zao kwa Kiswahili? Hata maprofesa wengi wanaofunza lugha hii katika vyuo kadhaa ni wakenya- wengi wao!

Ni dhahiri ya kwamba wakenya ndio wanaobobea katika lugha hili, na ndio walio kwenye mstari wa mbele kabisa kuendeleza lugha hili.
Lugha tunaifaham, tatizo kubwa linalotusibu ni kutokuwa makini pale tunapotumia lugha ya maandishi (written) na lugha ya maongezi (oral/spoken).

Watanzania wengi hatuko makini kwenya written language (sio kiswahili tu, ni lugha nyingi tunapuuzia vitu vya msingi),

Lakini pia kwa sababu ya asili (mother tongue) inachagiza suala hilo! Hapa tz kuna makabila mengi sana, kuna baadhi ya makabila wao wanachezesha sana ndimi zao, hivyo "R" inatamkwa haraka zaidi kuliko L, wengine ndo hivyo hawezi kutumia R badala yake huweka L kila sehemu, iko mifano mingi!

Hata hivyo hii haiondoi dhana kwamba hatukijui hata hicho kiswahili, La hasha! Ni kukosa umakini tu kwa baadhi ya watu!

Suala la Wakenya kuajiriwa kwa wingi na makampuni makubwa ya kimataifa lina sababu nyingi!

Tuanzie kwenye ile video ya kwanza inayozungumzia maisha ya Yesu, baada ya Mkenya mmoja kuwa amepata tenda ya kuingiza maneno ya Kiswahili kwenye video ile, jamii ya kimataifa iliifahamu Kenya kama kitovu cha kiswahili na hapo ndo nyota yenu iling'aa! Lakini kiswahili kilichoingizwa kilikuwa hakijanyooka!

Baada ya hapo hao Wakenya wachache walikuwa ni kivutio kwa wenzao, zikitokea nafasi huko walikuwa wanawataarifu haraka wakenya wenzao hivyo wakajikuta wakiongezeka!

Lakini kama unafuatilia vizuri masuala, wakati Facebook wametoa tenda kwa wakenya kutengeneza Menu ya kiswahili, waliomba msaada kwa watanzania ili kuingiza kiswahili kilichonyooka! Mtu kama Prof Masamba amefanya kazi kubwa tu ya kutengeneza ile menu!



Pamoja na hayo mambo nihitimishe kwa kusema, Kiswahili sio cha Tanzania pekee, ni cha Africa Mashariki na kati! Kwa hiyo hata kama ni Mkenya au Mtanzania au Mrundi anakikuza nje ya mpaka ni jambo jema! Zaidi ni kuona kiswahili kikikua!
 
Ondoa mapicha picha yako hapa, hili gari moshi wenzako tunalo tangu 70s. Wachina wamewaingiza choo cha kike. Kilichondolewa hapo ni reli ya vyuma na kuwekwa reli ya simenti, ila garimoshi na mabehewa yake ni sawa sawa na garimoshi letu la Tazara.

Mmeibiwa na serikali yenu, kuchamba kwingi.....
Kuna mtu atakunya hapa.povu imemzidiiiiii....
 
The thing is, all our subjects or courses throughout school are administered in English... And its only the Swahili subject ndio tunasoma tukitumia Kiswahili, so we are likely to use English in more formal places and to some people even social spaces. But most of us passed Kiswahili, I did. So I can write a very nice report in Swahili, I can write a letter, even answer more questions if they want me to, oral should have been instilled in me when I was younger. We don't talk with flare or knowingly "am not sure" replace r with l... whats that about btw? Am ure if we were to do an oral exam you would win.. but written I could very easily win.
Even in Kenya, the coastal areas who are expected to pass Swahili in the national exams usually come behind schools from regions where it is widely known that they butcher Swahili.
You see I am lucky though, today an average kenya is proficient in either French/ german and English of course... some are trying mandarin( that will take a while) plus a good command of Swahili, where I can write so well, and still make conversation .... like really make conversation.
 
bado nipo...kenya bwana wewe ni kischana kimeoga kweli.....

TNbSHeG.jpg


5OfuLZU.jpg


BWU92p2.jpg


XxUq2JK.jpg


VlrrXpH.jpg


JC3XFhZ.jpg


4X565X9.jpg


A1bxdXt.jpg


2eduJ0r.jpg


f9HNhT4.jpg
Mhhhhhhh
 
'Rugha' ndio nini, jameni mnatia kichefuchefu, uandishi wenu wa Kiswahili ni ovyo, Kingereza kilishawapiga chenga, lugha zenu za asili ziliwashinda eti mnasema ni ushamba, mnaishi kama watu wasiokua na asili yaani watumwa.
kiswahili hatuna neno ''Rugha" ndio maana mtoa maada amewashauri kujifunza kiswahili kwa ufasaha
 
kiswahili hatuna neno ''Rugha" ndio maana mtoa maada amewashauri kujifunza kiswahili kwa ufasaha

ebu weke mizani alichoandika huyu mtoa maada wako hapo chini.....mwisho wa siku mkenya ameiteka lugha ya kiswahili na kuweza kufaidi kibiashara kuliko mtanzania. mfano tu..tafsiri ya google kwa kiswahili na vingine vingi!!!

"Nikiwasikiliza wakenya matamshi yao,huwa naskia kichefuchefu,mfano siku ile watoto waarusha walipopata ajari nilimsikia raisi wao kwenye kampeni akisema "nawauliza ndugu zangu tusimame dakika moja kuwaombea watoto...." Kwa hiyo ndugu zangu jitaidini kuongea vizuri kama watz,Rwanda Burundi ,Zanzibar Nk"
 
Back
Top Bottom