Kuna makundi matatu ya kazi
1:Seniors, hawa kwakuwa huwa mabosi ktk taasisi zao kwa nationalwide, mf.Mkurugenzi mkuu au mtendaji mkuu n.k, hawa lazima sifa lazima iwe ujuzi wa muda mrefu kama miaka 10 hivi,au miaka kama 5 hivi na elimu ya Masters.
2.Wakuu wa idara katika eneo moja,mfano mhasibu mkuu wa mahali n.K ,hapa lazima sifa ni pamoja na experience ya mda wa kawaida kama miaka 5 hivi na shahaa.
3.Fresh graduates positions,nako hapa kuna sifa zake