Kwanini ushoga ni mwingi Zanzibar kuliko Tanzania Bara?

Nashukuru Mungu nilipofika si habari, nimekula kula chumvi kidogo

Kwahiyo mambo mengi tunayoyaona na kuyasoma humu Kwa kiasi kikubwa yanakuwa mageni Kwa sisi wenye umri huu wa Uzee

Miaka yetu ilikuwa Mwanaume mmoja anaoa wake hata watatu lakini Siku hizi Mwanaume anaona fahari kuchukua dudu yake na kumuingiza Mwanaume mwenzake

Kama sio kukosa akili ni nini huku?

Badala ya kuonesha urijali Kwa Kuoa, wao wanaona urijali ni kuwageza Wanaume wenzao Wanawake 🙌
Mkuu hizi mambo zishakuwa universal na saa hizi ziko exposed sana bila hata aibu. Kwenye entertainment ndio wanapitia huko Sasa kufanya promotion zao. I feel sorry for the futures
 
Nimekwenda Zanzibar mara nyingi lakini sijabahatika kukutana na hao mashoga

Nimetembea na hapo Forodhani nyakati za Usiku lakini sijabahatika kuwaona hao mashoga

Labda kama wanafanya huo ushoga wao Kwa kificho

Lakini pia kama una nafasi lete ripoti ya hali ya ushoga Kwa Mikoa ya DSM na Arusha pia.

NB; tuwalinde watoto wetu
Haya mambo ukiamua kujiweka nayo karibu na kuyafuatilia utakutana nayo ila ukiamua kuishi maisha yako hutakutana nayo maisha yako yote
 
Sasa ndio waimbe hadi mashoga mkuu? Wewe unaona sawa tu?
Taarabu ni nyimbo, ushoga ni kitu kingine kbisa. Alafu unatakiwa ujue kuna cultural difference ambayo inakupa shida kuhus wazanzibar. Hivi unajua wanaume wa wazanzibar wanapenda sana kupika?

Kule geto mtu anapiga chapati mwenyewe na anakanda ngano fresh kabisa. Anajipikia mapilau ya korosho safi kabisa anayagonga. Geto anaweka mazaga yote, huku geto halina hata mwko ugali unasongewa na chepe
 
Maeneo yote kulikokuwa na waarabu wengi, ushoga umeshamiri sana, Zanzibar, Mombasa, Tanga.

Nilishangaa nilipoenda Zanzibar, kijana muongozaji watalii, ananiambia kuwa watalii wazungu wakifika Zanzibar wanataka ku-enjoy sana, na wao wanahakikisha wateja wao wanapata chochote wanachotaka. Nikamwuliza kupata ufafanuzi, ndipo akasema kuwa wengine wakifika tu wanataka wanataka mabinti. Nikamwuliza kuwa wanafanikiwa kuwapata ukizingatia Zanzibar ina watu wachache, na practically ni kama nchi ya kiislam. Akasema wanawake wapo wengi sana, umri wowote utakaotaka. Hawapo mabarabarani kwa sababu wanaogopa, ila malaya ni wengi sana. Akasema ukitaka waafrika tiii, wapo. Ukitaka mashombe wa kiarabu, wapo wengi sana, japo wengine wanataka wazungu tu kwa hofu kuwa waafrika watawatangaza.
Hili halina ubishi, upo sahihi
 
Tuletee takwimu basi, na chanzo cha takwimu hizo. Naona unaruka ruka tu na hoja ya OIC, unaweza kuianzishia uzi wake hapa unajichanganya tu blaza.
Mkuu hiyo hoja ya OIC nimeitolea ufafanuzi kwenye uzi. Hebu rudia kusoma hasa kwenye conclusion ya uzi.
 
Back
Top Bottom