Kwanini Umoja wa Mataifa(UN) hauna Mwenyekiti bali Katibu Mkuu?

Secretary General wa UN yeye ni mkuu wa Trusteeship council.

Ndani ya UN chombo chenye nguvu ni Security Council yenye permanent members watano na 10 ambao wanachakuliwa only for two year term
Nimeuliza mwenyekiti tu hayo mengine yanafahamika
 
Back
Top Bottom