Kwanini ukimuuliza mtu yeyote kama yeye ni wa motoni au wa peponi, anakujibu hajui

Hiyo siku ya mwisho Mungu atakua bize sana, maana kati ya hawa wafuasi wa Yesu na wa Muhammad kuna kundi moja litaingia motoni.

Halafu kundi moja lililobaki litaanza kuchambuliwa ili wapatikane wale waadilifu wa kuingia peponi.

Wale wasiofungamana na upande wowote tayari wana tiketi yao ya motoni

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
hapo nakataa mkuu na sababu zakutaa ninazo tele kaa ukijua kuna sehemu watu wamefikiwa na Dini kati ya hizo moja tu sasa watajuaje hipi ni bora wakati wamefikiwa na Dini moja tu mkuu.

Mungu akiukumu kwa Dini naona atakuwa ameonea watu wengi.
 
Back
Top Bottom