Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Wazungu akili kubwa bila wao tungekuwa bado tunaishi maisha ya ujima wa kaleWanaJF,
Katika sakata hili la mchanga, nimegundua hili.
Nimekuwa nasikitika sana kuwa tunapoteza haki zetu na uwezo wa kufikiri kwa tunaposikia neno "MZUNGU".
Nimeona kwa wabunge wengine wanaonyesha jinsi wazungu walivyo kama zimwi kwetu na hawawezekani kwa lolote.
Mpaka wengine wakasema tungewaachia waendelee na wizi ili kukweka kibano.
Je wewe unafikiri sisi hatuna haki kwa kila kitu?
Mkuu Viongozi wetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza (na hasa kambi ya upinzani)WanaJF,
Katika sakata hili la mchanga, nimegundua hili.
Nimekuwa nasikitika sana kuwa tunapoteza haki zetu na uwezo wa kufikiri kwa tunaposikia neno "MZUNGU".
Nimeona kwa wabunge wengine wanaonyesha jinsi wazungu walivyo kama zimwi kwetu na hawawezekani kwa lolote.
Mpaka wengine wakasema tungewaachia waendelee na wizi ili kukweka kibano.
Je wewe unafikiri sisi hatuna haki kwa kila kitu?
yaani wewe ndio mpuuzi kweli,chadema iko madarakani?mbona mnakua wapumbavu mpaka amjielewi,Mkuu Viongozi wetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza (na hasa kambi ya upinzani)
Wanajaribu kucheza na akili za Walalahoi (mimi sio mmoja wao).
Wanajaribu kutuonesha kwamba hakuna tunaloweza kufanya katika nyanja yoyote pasipo kuwategemea hawa Mabwanyenye Majambazi..
Wameuficha ukweli kwamba wao (vyama pinzani) ni matawi na wanafadhiliwa kwa rundo la mapesa na hao Wazungu wasio waaminifu.
Wameshindwa kuwaaambia ukweli umma wa Watanzania kwamba tumewagusa "SEKTA NYETI" matokeo ni kiutisha Serikali wakijua wananchi tutakuwa nao pamoja..
Nani asie jua Mamilioni ya Mapesa wanayo pewa Chadema kutoka Ng'ambo..
Wacha wapige Mayowe...chama Tawala kwa sasa si ombaomba kwa mtindo wa KUIWEKA NCHI REHANI..
Ni bora watanzania tule Nyasi kwa kipindi hiki cha kuweka mambo sawa, kuliko kula Pizza, Baga na Soseji, tukiruhusu na kushuhudia Maliasili zetu zikichukuliwa pasipo manufaa ya Nchi na raia kwa ujumla.
Ni wanasiasa wanao waogopa hao wanaoitwa wawekezaji (wazungu)
Sisi "Wasakatonge" tunawatambua akina Mzee Mengi, Bakharesa kama wawekezaji na waendesha uchumi wa nchi.
Faida na Majambazi wa Uchumi hatujaiona.
[HASHTAG]#Fearless[/HASHTAG] no More..
Kuna Kweli Mkuu wawekezaji wazalendo hawawezi kwepa kodi kwa kiwango cha kutisha.Na wakifanya hivo mali zao rahisi Serikali kuzidhibiti wanapokiuka.Cha msingi ni kuhakikisha wanalipa kodi na kufuata sheria za nchi.Sisi "Wasakatonge" tunawatambua akina Mzee Mengi, Bakharesa kama wawekezaji na waendesha uchumi wa nchi.
Faida na Majambazi wa Uchumi hatujaiona.
[HASHTAG]#Fearless[/HASHTAG] no More..
CCM na serikali yake ndiyo wanaowaogopa wazungu. Kubwa la wezi toka Canada limekuja lakini likaishia kupigwa kiyoyozi Ikulu badala ya kukamatwa. Ccm ni janga la taifaWanaJF,
Katika sakata hili la mchanga, nimegundua hili.
Nimekuwa nasikitika sana kuwa tunapoteza haki zetu na uwezo wa kufikiri kwa tunaposikia neno "MZUNGU".
Nimeona kwa wabunge wengine wanaonyesha jinsi wazungu walivyo kama zimwi kwetu na hawawezekani kwa lolote.
Mpaka wengine wakasema tungewaachia waendelee na wizi ili kukweka kibano.
Je wewe unafikiri sisi hatuna haki kwa kila kitu?
Jipe moyo blaza,.thibitisha alichofanya mswahili ulimwengun hapa kilichowekwa record,kiuchum,technology etc,..kama sio kunengua mauno tuu,..we are 500yrs backwardWazungu sio watu wa kuogopwa hata kidogo,ni watu tu kama watu wengine tofauti yetu ni rangi tu
Wazungu wamekopi elimu na ujuzi mwingi toka Afrika,na Afrika kaskazini.Walichofanya ni kuboresha tu yale waliyojifunza Afrika. chuo kikuu cha kwanza duniani kilijengwa Afrika(moroko)Jipe moyo blaza,.thibitisha alichofanya mswahili ulimwengun hapa kilichowekwa record,kiuchum,technology etc,..kama sio kunengua mauno tuu,..we are 500yrs backward
Stor na historia za kujipaga moyo hzi hatutak kuskia hapa.uongo uongo tuu,hata kama umeandikwa kwenye vtabu,..hatutak historia hapa tunataka vitu physical..kama kwel chanzo cha elim ni africa bas tungetegemea elim iliyoboreka kwanza hapa kwenye locus na sio et ihame iruke stage iende kwingne af irud,..historia za uongo nakwel hatutak skia,..nmekwambia orodhesha vtu vyenye mashiko alivyowai fanya africanus.Wazungu wamekopi elimu na ujuzi mwingi toka Afrika,na Afrika kaskazini.Walichofanya ni kuboresha tu yale waliyojifunza Afrika. chuo kikuu cha kwanza duniani kilijengwa Afrika(moroko)
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Kitu gani unataka nikwambie,kilimo cha kisasa cha umwagiliaji kilifanyika misri miaka zaidi ya 2000 iliyopita,chuo kikuu cha zamani sana kilijengwa pale misri(al azhar university), elimu ya physics na hesabu kwa mara ya kwanza ilibuniwa misri na kina farao ambao walikuwa babu zetu wa afrika.Stor na historia za kujipaga moyo hzi hatutak kuskia hapa.uongo uongo tuu,hata kama umeandikwa kwenye vtabu,..hatutak historia hapa tunataka vitu physical..kama kwel chanzo cha elim ni africa bas tungetegemea elim iliyoboreka kwanza hapa kwenye locus na sio et ihame iruke stage iende kwingne af irud,..historia za uongo nakwel hatutak skia,..nmekwambia orodhesha vtu vyenye mashiko alivyowai fanya africanus.
Hiv mtu unaboreshaje kitu ambacho hauko ahead nacho,kama waliboresha maana yake wao walikua bora kabla ya waliowaboreshea..ama nasema uongo,..mfano,mi nina shamba eka1 natoa gunia mbili,anakuja mtu ananiboresha na kunipa ujuz napata gunia 30,nan yuko zaid ya mwenzie hapo,..anaeboresha au anaeboreshewaKitu gani unataka nikwambie,kilimo cha kisasa cha umwagiliaji kilifanyika misri miaka zaidi ya 2000 iliyopita,chuo kikuu cha zamani sana kilijengwa pale misri(al azhar university), elimu ya physics na hesabu kwa mara ya kwanza ilibuniwa misri na kina farao ambao walikuwa babu zetu wa afrika.
Walichofanya wazungu ni kuboresha tu.Magari ya kwanza Duniani yalitengenezwa misri(Afrika)
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app