Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,704
- 9,060
Chintu,Sasa Wapinzani nao wameamua kufanya walichokifanya CCM toka 1998. Totally No SENSE!
Acha kuzuga akili za watu wewe.
Ati Wapinzani wanafanya walichokifanya CCM toka 1998!! Are you serious or insane?
Hoja ya Upinzani bado iko palepale kwamba: MIKATABA YOOTE HII YA MAKINIKIA ILISAINIWA NA CCM(Chama Cha Makinikia). Je, CCM walikuwa wapi?
Magufuli mwenyewe ni sehemu ya uoza huu akiwa Mbunge na Waziri tangu 1995!!! Kwa mana nyingine Magufuli alikuwa akiiingia kwenye Baraza la Mawaziri na Bunge katika kupitisha Mikataba hii mibovu.
Hivo hawa CCM ndio chanzo cha Migogoro yote ya Mikataba ya Uchimbaji Madini na GASI ASILIA Tanzania. Shame on you CCM and your Chairman.