Kwanini stand ya mkoa wa Morogoro ni ya hovyo miaka na miaka?

Kuona vumbi tu mihemko ikakupanda.... Ungeshuka ukachek kituo kilivyo bora wewe
 
Wewe nadhani hujafika Morogoro siku nyingi au hujui kinachoendelea.Ngoja nikujuze.Kwa taarifa yako manispaa ya mji wa Morogoro inajenga stendi ambayo nadhani hata jiji la Dar halijaweza kujenga mpaka sasa.Nichukue nafasi hii kuipongeza sana manispaa ya mji wa Morogoro kwa kazi nzuri wanayoifanya.
Hii stand kwanini haiakarabatiwi licha ya kuhudumia mabasi lukuki kila kukicha? Ukipita masik tope, ukipita kiangazi vumbi!

Tatizo ni nini?
Hii stand kwanini haiakarabatiwi licha ya kuhudumia mabasi lukuki kila kukicha? Ukipita masik tope, ukipita kiangazi vumbi!

Tatizo ni nini?
 
Stendi ya moro iko kwenye upanuzi mkubwa sana na ndio itakuwa stendi bora Tanzania. Inaonekana mtoa mada ulikuwa umelala ukastuka bila kuangalia ujenzi unaoendelea pale Msamvu
aja ja ja ja ja ja ja ja jah naomba utengue hyo kauli "stend bora tanzania" afu urudi hapa ni kwambie ukweli ni stend gani bora tz kuliko hyo niloiyona inajengwa last w3ek nlipotembelea moro.
 
Duhhh watu mna maneno...

Ila stand ya msamvu ni bora kuliko hata stand za majiji na mji mkuu wa Tanzania ....
 
aja ja ja ja ja ja ja ja jah naomba utengue hyo kauli "stend bora tanzania" afu urudi hapa ni kwambie ukweli ni stend gani bora tz kuliko hyo niloiyona inajengwa last w3ek nlipotembelea moro.
Ile stendi ni nzuri ina shopping mall ina eneo la mabenki na sehemu ya ATM eneo la kusubiria mabasi la kulipia lenye AC. Ni wapi kwenye stendi kama hiyo labda JKN airport. Me nimeuona mpk mchoro wake na kwa sasa lilipofikia nilitembelea give credit when credit is due
 
Siku nyingine mtoa mada ujaribu kutafuta ukweli badala ya kupost 'umbea.' Kwani jina hata ndugu au rafiki aliyopo unapopazungumzia angalau akutumie picha halisi?
 
Ile stendi ni nzuri ina shopping mall ina eneo la mabenki na sehemu ya ATM eneo la kusubiria mabasi la kulipia lenye AC. Ni wapi kwenye stendi kama hiyo labda JKN airport. Me nimeuona mpk mchoro wake na kwa sasa lilipofikia nilitembelea give credit when credit is due
khaa, kweli wew ni funza. yani unapagawa ni michoro. hebu acha hzo bhana miundombinu nyingi sana hapa bongo kama zingetengezwa according to zilivochorwa bt tz ingekua zaid ya hzo nchi kubwa kama south a.
 
Pitia uone sio unabisha tu mbona jengo limeshakamilika zaidi ya 90% na vyote hivyo nilivyovitaja vipo. CRDB NMB na Equity bank wote wanaweka matawi hapo. Fuatilia sio unabisha tu. Kuna stendi gani iko kama hiyo kwa TZ? Taja basi hata moja
 
Back
Top Bottom