Huyo muongo tu anafikili huku ni FB mwambie huku ni JF Kuna watu wako makini zaidi yake.Mwaka 2012??
Naomba unijibu maswali haya niamini kama story hii ni ya ukweli!!
Je ulifanya kazi zako hizo na mtaji wa betting muda gani? Je uliporudia ulirudia form ngapi? Na ukamaliza mwaka gani? Baada ya kufaulu ulisoma elimu ipi ya juu(diploma au degree)? Naomba uwaambie hawa GT kwa kipindi hiki cha miaka mitano umewezaje kuacha shule mpaka leo umemaliza chuo na kupata ajira?
Na ww huwa unabet?@ckl