Kwanini shule nyingi Zanzibar zinafanya vibaya?

Nimeifata hiyo link sijaona kama kilichopostiwa namba moja. Nnaona majina ya shule na namba za vituo ambazo hazioneshi ni shule za wapi.

Usipate tabu, tuwekee matokeo yako.
nilikua nimeweka link ya matokeo ya shule ya Kojani iliyopo Zanzibar, hapa hatuzungumzii matokeo yangu au ya mtu binafsi bali matokeo ya shule za Zanzibar
 
Zanzibar kabla na baada ya mapinduzi kama mbingu na ardhi. We walk the unintended way- hatua moja mbele mbili nyuma.
 
Kwa kweli kunatatizo hapo zanzibar,mm nimeona wazanzibar wengi waliofika chuo kikuu ni njisia ya kike lakin wanaume wazanzibar ni wachache sana vyuo vikuu, kwa mfano hapo udsm kuna wazanzibar wanawake wapo chuo kikuu lakin madume hakuna kabisa,bora wapeleke wanawake shule coz wanajitaidi kidogo kufauli tofaut na wanaume wa zanzibar,kama umesoma vyuo vikuu vya hapa bongo lazima utakuwa umelliona ili
 
Elimu dunia kwa sio kipaumbele sana ndio maana ziro kwao sio inshu saana.Pia wengi hua wakimaliza form 4 wanatimkia uarabuni kuwa vibarua na wanawatumia hela nyumbani basi maisha yanaenda.Wengine ndio km ivyo wanakuja bara wanafungua maduka nk. Zanzibar madrasa ni nyingi mno kuliko xkull.
 
Ni kweli ila hazijawahi kuwa za mwisho na Francis Maria Liberman Znz ipo kwenye 100 bora
 
Huyu jamaa Juha kweli
Yaani we hata hujui mfumo wa Elim kwenye Nchi husika
Na Faiza Foxy amekuuliza weka matokeo tuone
Yaani watu wengine wanataka tuona kwamba Zanzibar wanafauli tu kwenye Dini,na ni lazima wafauli masomo ya Dini.
Halafu uzuzu eti kwenye shule 1,000 Zanzibar hakuna hata Moja.


Hivi unajua Zanzibar inavyuo Vikuu vingapi?Kwa taarifa yako ina karibia wastan wa kila mkoa Chuo Kimoja.
Sasa huko kwenu Mbekenyera mikoa kibaoo haina hata Chuo Kikuu.
Zanzibar ina wasomi wa kuelewa na sio wa kukariri na kununua mitihani kama mnavyofanya huko.


 
punguza hasira mkuu, maana ni ukweli usiopingika kuwa Zanzibar na mikoa ya Pwani elimu ipo chini sana
hivyo vyuo unavyosema vipo kila mkoa sijui ubora wake upoje, maana siku hizi hatyangalii vyuo tu, tunaangalia na ubora wa elimu inayotoka huko
 
Popote Dini iliposhamiri sana hapana Watu wenye maarifa na kama utawakuta ni matajiri basi ujue kuna resources ndo zina wasave but sio Elimu Yani mikoa ya pwani iko chini sana kielimu kwa kweli dini imepewa kipaumbele wanaamini kuna life after death ndo mana wanaona kuishi hapa duniani poor bila elimu ni sawa wakati wenzao wanaamini hakuna maisha baada ya kifo wana do the best hapa, Uislamu ni imani yenye shida sana kiukweli tutapinga but ukweli useme mimi sio mwislamu au mkiristo
 
Kweli kaka, umenena. misimamo ya dini ikiwa mikali sana vitu vingi vya maendeleo mnashindwa kufanya,

sio upande wa waisilamu pekee, hata wakristu wengine utawaona wanatumia muda mwingi kanisani wakiimba mapambio, kusali na kipato chao kikubwa wanatoa sadaka, fungu la kumi, na michango mingine lukuki, kufanya saving kwa ajili ya maendeleo hakuna

pia dini inakufanya ushindwe kujenga uwezo wako wa kukabiliana na changamoto za maisha, utakuta mtu hana ajira au ana matatizo kwenye ndoa yake badala ya kuumiza kichwa chake ni jinsi gani nitapata ajira au nitajiajiri yeye anakaa kanisani masaa mengi akisali au kuombewa akijua mungu atamshushia ajira

wachungaji wa siku hizi wenyewe wanahubiri njia za miujiza za kimkato za kupata mali, hivyo kuwapumbaza watu sana watu waamini kuna njia ya kupata mafanikio bila elimu na kujituma kwenye kazi

waumini wengi mtanipinga hapa ila kwa mtu anayetafakari atakubaliana na mimi, dini zinapotosha sana siku hizi, mimi japokuwa siamini katika dini yoyote, ningeunga mkono endapo ningeona wanahubiri kuhusu watu kupendana, kuacha uovu, kuvumiliana kufanya kazi na kuzingatia elimu, kusaidiana inapobidi, na mshikamano ki ujumla katika jamii zetu, sio utajiri kwa njia za mkato huku wakijilimbikizia mali napinga kabisa dini za namna hii
 
Unataka wasome ili waje kuwaongoza??? "IVI ULE MPANGO WA MIAKA 10 ANAONGOZA MTANGANYIKA ALAFU MIAKA 10 MZANZIBAR ULIISHIA WAPI"?
 
Unapoamini unaishi akhera wakati unaishi Duniani unategemea matokeo gani?
 
Unataka wasome ili waje kuwaongoza??? "IVI ULE MPANGO WA MIAKA 10 ANAONGOZA MTANGANYIKA ALAFU MIAKA 10 MZANZIBAR ULIISHIA WAPI"?
hivi kulikuwa na mpango kama huo? dah kweli tulikosa busara
 
Elimu ya msingi na upili(secondary) ni miongoni mwa non union matters.

Sasa hayo matokea mchanganyiko wewe umeyatoa wapi?
 
nilikua nimeweka link ya matokeo ya shule ya Kojani iliyopo Zanzibar, hapa hatuzungumzii matokeo yangu au ya mtu binafsi bali matokeo ya shule za Zanzibar
Nitajie shule kumi zakutoka Zanzibar ambazo zipo katika hiyo link
 
Unapoamini unaishi akhera wakati unaishi Duniani unategemea matokeo gani?
 


Hata madrasa ni chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…