real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
nilikua nimeweka link ya matokeo ya shule ya Kojani iliyopo Zanzibar, hapa hatuzungumzii matokeo yangu au ya mtu binafsi bali matokeo ya shule za ZanzibarNimeifata hiyo link sijaona kama kilichopostiwa namba moja. Nnaona majina ya shule na namba za vituo ambazo hazioneshi ni shule za wapi.
Usipate tabu, tuwekee matokeo yako.