But hayupo! who can I askMuulize baba wa taifa analijua hilo kwann iwe hivo!!na sio huko tu ata pwani ya Tanganyika yote ni zero brain kwenye masomo...""NAWAPONGEZA KWA KUJIONGEZA BAADA YA KUGUNDUA HILO WAO NI MWENDO WA BIASHARA TU""
plus ndugu yake ritz wanamajibu mazuriFaizaFoxy atakuwa na jibu sahihi kwa swali lako.
Tunalingana hebu angalia Shule ya Sekondari Kojani,Chwaka, Jang'ombe kwenye matokeo ya Form Four 2015.Sasa unalinganisha vipi shule za bara na visiwani kwenye matokeo ya kidato cha pili na nne wakati wao wana mifumo yao ya kutahini kwa shule za msingi na sekondari na hatuingiliani?
Tunalingana hebu angalia Shule ya Sekondari Kojani,Chwaka, Jang'ombe kwenye matokeo ya Form Four 2015Sasa unalinganisha vipi shule za bara na visiwani kwenye matokeo ya kidato cha pili na nne wakati wao wana mifumo yao ya kutahini kwa shule za msingi na sekondari na hatuingiliani?
Nimekua nikishangaa wenzetu wa Visiwani kwanini Shule zao hazipo hata kwenye top 1,000 za Taifa katika mitihani ya Kidato cha Pili, Nne na Sita ?
Ni Kisiwa chenye watu wachache lakini sijawahi kusikia hata siku moja Chwaka Secondary imekua hata ya 1, 500 Tatizo ni nini kwa Wazanzibari.
Pia nimefanya Uchunguzi watoto wengi hufaulu somo moja tuu kwanini? yaani unakuta
Kiswahili-F
History- F
Civics-F
Geography- F
Mathematics-F
Physics- F
Biology-F
Chemistry-F
Elimu ya Dini ya Kiislamu- B
Naomba kuwasilisha.

http://www.necta.go.tz/results2015/csee/CSEE2015/indexfiles/index_l.htmA
Hebu tuoneshe matokeo ya shule za Zanzibar tujionee, si hiyo hypothesis uliyoitunga .