Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,720
- 5,659
Sukari imeadimika, wiki ya tatu hii hakuna chai. Nyie kazaneni kuvinyonga vyombo vya Habari.
Hivi wahusika unajua wanaumiaje? Mfano Prof Mjema wa CBE kwa sasa na familia yake wanajisikiaje? Kwa nini wasifanye utafiti kwanza?Tunaambiwa uzushi na uchochezi ndio uhuru wa habari.
Lakini mkuu serikali ikichukua hatua ukawa wanasema serikali hii ni ya kidikteta inaminya uhuru habari.Hivi wahusika unajua wanaumiaje? Mfano Prof Mjema wa CBE kwa sasa na familia yake wanajisikiaje? Kwa nini wasifanye utafiti kwanza?