Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa.?

trojan92

Member
May 18, 2024
86
263
Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa?

Moja kwa moja kwenye mada
Imekuwa trend siku hizi kusikia mahusiano ya mwanamke mkubwa mnene hivi mwenye nyama nyingi aka mshangazi. Ishu yangu iko hivi; Juzi nilikuwa ofsini. Akaja dada mmoja bonge ofcourse ni mkubwa kwangu kiumri like kama 8 years.

Nikamhudumia shida yake ya kiofisi fresh kabisa na mwisho akaomba namba kwa kuwa kulikuwa na vitu napaswa kumsaidia ili kukamilisha shida yake.

Baadae alinicheki nikamsaidia ishu siku hiyo hiyo na ikawa imesha. Lakini chaajabu ni kuwa dada huyu hakuacha kunipigia simu. Aliendelea kunicheki kila muda na kuniuliza vimaswali vya hapa na pale ananiuliza. Mara umekula, unakaa na nani? Yule dada niliyemkuta wote ofsini ni nani yako nk nk. Mwisho kabisa baada ya kuchati sana usiku nikamwambia mie nalala. Akaniambia anaomba anipigie. Nikamjibu just call me. Akapanda hewani. Ofcourse tuliongea mengi anikisifu kuwa kumsaidia. Mwisho akaniuliza huna cha kuniambia nikamjibu sina. Baada ya kukata simu akanitext kuwa yuko pekee yake chumbani hana kampani na anakunywa savana na zinampelekesha mno.

As man niliyekamilika na ninasikia stori za wadada na savana zinavyowafanya nikajikuta nababaika nijibu nini. Ikabidi nijifanye sijui kwa kuumuliza hiyo savana inamfanyaje?
hakuchelewa akajibu inampa ny**e.. ewaaaah daa wakuu damu yangu ikachemka mno.

Ikafuatiwa sms kuwa ananipenda. Kiufupi tulichati mno mpaka usiku mrefu full kuny***shana. Mapaka sasa nimeshindwa kuamua. Niwe na msimamo upi. Natami kutafuna sababu daa kuacha mtu amenililia vilf ni mbaya. Upande mwingine nina girlfriend wangu na hana nyama nyingi km huu mshangazi. Nikiweks kwenye mzani my girlfriend hafiki hata robo.

Kiukweli naogopa hii ni mara ya tatu ofsini natongozwa na mishangazi. Nashindwa kuelewa nifanye nini? Nimejaribu kuuliza kwanini kaniona mimi kati ya wanaume wengi ambao tuko ofsini akajibu ohh we ni mpole na una ustaarabu mno. Kila atakayehudumiwa na wewe atafurahi tu

Nishaurini maana anasumbua mno
Eti nifanyaje? Mpaka sasa ni wiki ya pili imepita, kila siku ananicheki. Yaani nashindwa kuamua. Nasikia ukiingia kwwa mishangazi huchomoki eti ni kweli?
 
Attachments

  • 1728044953402.jpg
    1728044953402.jpg
    398.1 KB · Views: 4
Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa?
Imekuwa trend siku hizi. Juzi nilikuwa ofsini. Akaja dada mmoja bonge ofcourse ni mkubwa kwangu. Nikamhudumia shida yake na mwisho akaomba namba kwa kuwa kulikuwa na vitu napaswa kumsaidia.

Baadae alinicheki nikamsaidia na ikawa imesha. Lakini hakukoma kunicheki kila muda, mara vimaswali vya hapa na pale ananiuliza. Mwisho kabisa baada ya kuchati sana akaniuliza huna cha kuniambia nikamjibu sina. Akanitext anakunywa savana na zinampelekesha. Nikamjibu kiaje akasema ndio hivyo yaani hajielewi na ananipenda.

Kiukweli naogopa hii ni mara ya tatu ofsini natongozwa na mishangazi. Nashindwa kuelewa nifanye nini? Nimejaribu kuuliza kwann kaniona mimi kati ya wanaume wengi ambao tuko ofsini akajibu ohh we ni mpole na unaustaarabu mno. Kila atakayehudumiwa na wewe atafurahi

Eti nifanyaje? Mpaka sasa ni wiki ya pili imepita, kila siku ananicheki. Yaani nashindwa kuamua. Nasikia ukiingia kwwa mishangazi huchomoki eti ni kweli?
Huyo kwenye picha ana ushangazi kani zaidi ya mafuta
 
As man niliyekamilika na ninasikia stori za wadada na savana zinavyowafanya nikajikuta nababaika nijibu nini. Ikabidi nijifanye sijui kwa kuumuliza hiyo savana inamfanyaje?
hakuchelewa akajibu inampa ny**e.. ewaaaah daa wakuu damu yangu ikachemka mno.
Mimi natunza hii post nasubiri utakapo kuja na Nyuzi ya malalamiko next month.
 
Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa?

Moja kwa moja kwenye mada
Imekuwa trend siku hizi kusikia mahusiano ya mwanamke mkubwa mnene hivi mwenye nyama nyingi aka mshangazi. Ishu yangu iko hivi; Juzi nilikuwa ofsini. Akaja dada mmoja bonge ofcourse ni mkubwa kwangu kiumri like kama 8 years.

Nikamhudumia shida yake ya kiofisi fresh kabisa na mwisho akaomba namba kwa kuwa kulikuwa na vitu napaswa kumsaidia ili kukamilisha shida yake.

Baadae alinicheki nikamsaidia ishu siku hiyo hiyo na ikawa imesha. Lakini chaajabu ni kuwa dada huyu hakuacha kunipigia simu. Aliendelea kunicheki kila muda na kuniuliza vimaswali vya hapa na pale ananiuliza. Mara umekula, unakaa na nani? Yule dada niliyemkuta wote ofsini ni nani yako nk nk. Mwisho kabisa baada ya kuchati sana usiku nikamwambia mie nalala. Akaniambia anaomba anipigie. Nikamjibu just call me. Akapanda hewani. Ofcourse tuliongea mengi anikisifu kuwa kumsaidia. Mwisho akaniuliza huna cha kuniambia nikamjibu sina. Baada ya kukata simu akanitext kuwa yuko pekee yake chumbani hana kampani na anakunywa savana na zinampelekesha mno.

As man niliyekamilika na ninasikia stori za wadada na savana zinavyowafanya nikajikuta nababaika nijibu nini. Ikabidi nijifanye sijui kwa kuumuliza hiyo savana inamfanyaje?
hakuchelewa akajibu inampa ny**e.. ewaaaah daa wakuu damu yangu ikachemka mno.

Ikafuatiwa sms kuwa ananipenda. Kiufupi tulichati mno mpaka usiku mrefu full kuny***shana. Mapaka sasa nimeshindwa kuamua. Niwe na msimamo upi. Natami kutafuna sababu daa kuacha mtu amenililia vilf ni mbaya. Upande mwingine nina girlfriend wangu na hana nyama nyingi km huu mshangazi. Nikiweks kwenye mzani my girlfriend hafiki hata robo.

Kiukweli naogopa hii ni mara ya tatu ofsini natongozwa na mishangazi. Nashindwa kuelewa nifanye nini? Nimejaribu kuuliza kwanini kaniona mimi kati ya wanaume wengi ambao tuko ofsini akajibu ohh we ni mpole na una ustaarabu mno. Kila atakayehudumiwa na wewe atafurahi tu

Nishaurini maana anasumbua mno
Eti nifanyaje? Mpaka sasa ni wiki ya pili imepita, kila siku ananicheki. Yaani nashindwa kuamua. Nasikia ukiingia kwwa mishangazi huchomoki eti ni kweli?
Huyo miwaya nje nje ujue
 
Nimesoma heading tu sijui ndani umeqndika nini ila jibu jepesi ni kwamba gari bovu huvutwa na gari Zima. Tafakari
 
Back
Top Bottom