ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,096
- 2,286
Mbona samsung walishatengenesa OS yao ya BADA. Ikakosa umaarufu na baadae walijoint na Tizen.Samsung ni moja ya makampuni makubwa duniani kwenye uwanja wa teknolojia. Kutengeneza simu zinazotumia Android OS naona kama ni embarasment kwa kampuni kubwa hivi.
Sidhani kama watashindwa kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kwenye R&D ya kutengeneza OS yao.
Faida kubwa watakayopata ni ku-customize software na hardware kama Apple na Windows Phone wakati ule. Na hata tatizo lililoikumba Note 7 lisingetokea mwaka jana.
Faida nyingine ni kuwa na loyal customers ambao itawawia vigumu kuwahama kwasababu ya uniqueness ya OS yao. Mfano kwa sasa iphone na nokia ya wakati ule wameshatengeneza loyal customers kiasi kwamba kuhama platform zao imekuwa shida sana.
Ila kutumia android kuna wapa wateja option ya kuipata android sehemu nyingine na hata ushindani na makampuni mengine yanayotengeneza simu za Android unakua mkubwa. Ila wakiwa na OS yao watawapa ugumu loyal customers kuhama brand.
Play store imejaa malware, kila mtu anaweka app yake hata kama imekaa hovyohovyo. Wakiwa na OS yao, hawatawapa mwanya developers wanaoweka uchafu kwenye store watakayoitengeneza.
Samsung anauza mamilion ya simu, sio mbaya kuanza tayari anauza simu nyingi kwa mwaka.
Tunahitaji varieties za OS sokoni, kuwa na Os chache kunakinaisha.
Bada OS - Mobile terms glossary - GSMArena.com
Tatizo la kuanzisha OS yake mwenyewe lipo kwenye Apps. Wateja wanapenda kuwa na free Apps nyingi, customizations kibao yaani vimichezo michezo vya hapa na pale pamoja na games za uhakika. Unaona mfano Blackberry inapoteza umaarufu kwasababu ya uchache wa developers pia windows phone nao hivyo hivyo. Ma si rahisi kwa wao kutoa OS na kuifanya OPEN SOURCE , watahitaji maslahi zaidi.